Search results

  1. D

    Wakenya ndani ya pccb na usalama wa taifa

    Pleasa wataje kwa majina. Ili aliyewajiri awajibike
  2. D

    Revealing: Nani wametoa vibali vya kuishi/kufanya kazi kwa watu hawa?

    Thanx very much, binafsi mimi naishi nao naona kama hawa waasia wamekuwa juu sana ktk hili. La ajabu kila mmoja ana polisi wake wa kumwita mara wanapogombana. Ukipita pale Golden Plaza utaona uchungu sana. Wao wamo ndani waafrika wamekaa NJE marangoni. Vivyo hivyo maduka mengi tu. Ukienda ktk...
  3. D

    Zena wa TTCL Customer Service yake Hovyo - Soma haya majibu!

    Mfano i mimi mwenyewe on3rd. Oct when I was recharging my Broadband a/c, i was failling to login. Lakini kila mtu wa data niliyeongea naye alikuwa akinipa matumaini ya kusubiri dk5. lakini kuanzia saa5 tuliweza maliza tatizo saa 12 jioni. So accept it or not its very difficult to detemine exact...
  4. D

    Revealing: Nani wametoa vibali vya kuishi/kufanya kazi kwa watu hawa?

    Wana JF, Imefika wakati sisi wenye nchi tuseme ni akina nani, (tuwataje kwa majina pamoja na mambo mengine wanaofanya haya): -Wanawanyima wazawa ajira na kuwapa wageni (hasa waasia) na wapi walipo. mf. masonara waasia weusi waliofungiwa mtaa wa Indira Ghandhi tujue ni nani (M-tz) kawapa...
  5. D

    Ukipita barabara ya Morocco-Posta,maeneo ya Upanga pana Nuka balaa na sipendi ile njia kwa hilo tu!.

    U karibu wa sewarage ndiyo chanzo. Niliwahi kuuliza nikaambiwa nchi zingine hali ni hivyo hivyo.
  6. D

    Zena wa TTCL Customer Service yake Hovyo - Soma haya majibu!

    Hata mimini mteja wa broadband, Lakini ukiwa unajua computer troubleshooting nini huwezi kumuuliza HATA fundi swali kama hilo. Kwani kila tatizo la internet/komputa linamalizwa na processes ambazo ni ndefu. Mf. system restore inaweza chukua dk30, lakini lazima backup has to decide on the time of...
  7. D

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Ukizoea utawaelekeza wengine pia. hivyo kupunguza gharama za ununuzi wa gari.
  8. D

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Japanese used cars sale. Import Japanese vehicles. Used car dealer. AUTOREC ENTERPRISE,LTD itakuongoza kupata gari. Chagua gari yeyote fuata maelekezo yao vizuri. Utapewa namba ya uanachama, kisha uende pale twiga house bank utapata maelekezo ya jinsi ya kulipia kwa kutumia benk yao. Within few...
  9. D

    Msichana atoweka Marekani akiwa mikononi mwa Balozi

    Usiseme hivyo hata kidogo. kwa mimi ninayemfahamu, yule binti hawezi kufanya hivyo. Huyu mama aseme Aneth yuko wapi? Hadhi ya kibalozi mtu huvishwa vile vile huvuliwa. Ebu rais wetu lipe jambo hili uzito mwingi. Mama huyu avuliwe u-diplomasia, tujue kwanza raia wa Tanzania (ANNETH) yupo wapi...
  10. D

    Msichana atoweka Marekani akiwa mikononi mwa Balozi

    Kwa kuwa nchi yetu inao uongozi, basi tunaomba rais ateuwe watu wa kufuatilia ni wapi raia wetu Anneth alipo.
  11. D

    Msichana atoweka Marekani akiwa mikononi mwa Balozi

    Huyu mama namfahamu vizuri sana. Ana majibu machafu mno. Huyu binti ni binti pekee aliyeishi naye kama H/girl kwa mda mrefu sana. Kwa mama huyu wasichana walikuwa hawakai. sisi tuliokuwa tukienda kula maeneo yale tunajua. Tukivyoulizia wenyeji mbona Binti huyu kadumu sana kwa mama huyu...
  12. D

    Hydrogen Peroxide -H2O2 pleaze

    Kwa anayeweza kunipatia mahali pa kununua H2O2 - food grade anipe taarifa nikanunue wapi. Asante
  13. D

    Laundry Tags please

    Kwa yeyote anayewezakunijuza ajijuze wapi nitapata laundry tags
  14. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Mwisho kabisa samahani sana wote mliokwazwa na heading yangu. Lengo langu lilikuwa ni kuwavutia ili msome yanayoniudhi juu ya mapato haya ya aibu kwa kanisa, chini ya kisingizio cha elimu. Kuua ni msemo wa kawaida ktk mitaa yetu, kukiwa na maana ya kuangushana, "unaniua mshikaji wangu kwa bei...
  15. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Tunaiomba wizara husika isifanye masiala, warudi na kukikagua chuo hiki kama kina mazingira ya kishule au mazingira ya kimaslahi zaidi. Binafsi napenda kiwepo, lakini si ktk mazingira hayo, pia nashauri kuwa watoze michango yao kwa mwaka wa kwanza tu. Pia, watuonyeshe kuwa kweli michango hiyo...
  16. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    1Tim 3:1-7, mtu akitaka kazi ya askofu... v.3 ...asiwe mwenye kupenda fedha. Tito 3:7 ...asiyependa mapato ya aibu. naamini haya ni mapato ya aibu, kwani haiwezekani kuunganisha ada na fedha za michango ya majengo kisha iitwe kuwa ni ada. kwani serikali ni wajinga kuweka kiwango cha ada ya...
  17. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Ni kweli kama hii iliyotoa wewe
  18. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Hii ni Ngoma kweli Umekalia u-UDSM, u-UDOM, huna lolote. Nchi sasa iko mikononi mwa Wachina hata kuchomelea grill tu sasa mpaka wawa ajiri degree zenu sasa zimegeukia kwenye marumbano yasiyo tija , marumbano ya u-,u-,u-. Hivi mtu akisema "unaniua" kwa mjanja kama wewe unajua its a total...
  19. D

    Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

    Siku zote jamii huchagua kiongozi mwadilifu. But inapotokea uongozi wa chini yake ukavuruga lazima tumseme Kiongozi tuliyemweka madarakani, ili aangalie kulikoni. Pia ujue kuwa hakuna mtu wa shetani sote tumeumbwa na Eloi aliye mmoja. "Mtu na akitataka kuwa askofu na a..." Tafuta mtume Paulo...
Back
Top Bottom