Search results

  1. poisson

    Wazee wa kudownload latest movie na series

    Husika kichwa cha habari kwa wazee wa movie na series. Luna site ambazo inaitwa fmovies.net nilikuwa naitumia kudownload movie na series naona sasa haifanyi kazi now. Naomba msaada wa site ambazo wadau mnazozijua na ambazo ni kudownload pasipo torrent na kwa kutumia simu Karibuni
  2. poisson

    Nina wasiwasi na upigaji wa ngoma wa Tundu Lissu

    Habari wakuu poleni na majuu ya msaka tonge Kuna kitu bado najiuliza juu ya Mh Tundu Lisu. Anapiga ngoma na chama tawala kinacheza hatima yake nini ........? Ni style nzuri ya siasa kiukweli siyo mwoga juu ya kuichokonoa serikali na kuifanya serikali na watu wake kuumiza vichwa... Je hajui...
  3. poisson

    Tetesi: Natafakuri ya kuunga mkono mambo yasiyo na mantiki

    Nimechokwa na kila kosa kukutana na neno BASHITE. Ukweli dunia na Tanzania hawapendi MTU afanyae mambo mazuri na yenye kuleta tija katika vizazi vijavyo. Kuna mantiki gani kumwona Makonda Leo ni mbaya na kushabikia ujinga kwa watu wanaompiga na kumfanya avunjike moja moja... Makonda be...
  4. poisson

    Arosto za mateja huku mitaani hawana kwa kukimbilia

    Habari wana JF, mtaani imekuwa na uhaba wa madawa ya kulevya na kupelekea nateja kuhaha na kukosa msaada kwa Arosto. Hongera kwa makonda kwa kupambana na kufanya madawa ya kulevya kupotea mtaani maaan kwa mwendo huu mateja wote watakimbilia Sober kupata msaada na kupelekea kupungua kwa watuaji...
  5. poisson

    Na Mapenzi mbashara kaa mbali nami

    Walioleta neno mubashara, ni waharibifu wa lugha wanaoiga wakongo, ndio hawa wanaosema Muke ya mimi. Ukitamka neno hilo mbele yangu nakunasa kibao....
  6. poisson

    *JEE WAJUAAAAAAAAA

    Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwangaaa....[emoji250] Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35] Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51] Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII[emoji57][emoji57] Kujaza wingi...
  7. poisson

    Harmo Rapa ni nani?

    Harmo rapa nimechoka na kiki za kijinga athibishe kuwe yeye rapa mkali aache kiki go to hell Harmo rapa. Kila mtandao ukiingia harmo rapa kafanya hivi. Afu hana hata hit song au sikuhizi na wapiga kiki nao ni marapa na ni nitakuwa rapa NB: WENYE WIMBO WA HARMO RAPA TUJUDGE KAMA YEYE NI RAPA AU...
  8. poisson

    Clouds na Mapenzi mbashara wanafanya watu tunashindwa kusikiliza mbele watoto

    Habari wanajamvi hii sasa ni kama kero kila nikiwasha radio nikiweka clouds mapenzi mubashara mapenz mubashara. Sasa kama ni kutuharibia watoto wanania kwelikweli. Nimeaamua sasa sisikilizi nikiwa na watoto au nikiwa na wazazi yaaaani likianza kama upo na wakwe au wazazi unatamani Tanesco...
  9. poisson

    Je ni sawa kumpigia magoti mwanamke?

    Wana jf wenzangu kuna kitu huwakinanifanya nakosa ujasili na kuhisikia vibaya sana ninapoona mwanaume unapiga magoti kwa mwanamke. Kuna nyanja nyingi ambazo nimeshuhudia vitendo kama hivyo mwanaume kumpigia magoti mwanamke kama Kwenye event za kuvishwa Pete za uchumba Mwanaume kuomba msamaha...
  10. poisson

    Nilimpigia simu mwanamke mmoja niliyekuwa namdai fedha zangu, lakini hakupokea simu yangu.

    Nilimpigia simu mwanamke mmoja niliyekuwa namdai fedha zangu, lakini hakupokea simu yangu.[emoji2] Nilipiga mara 10 zaidi, akagoma kupokea. Nikitambua mumewe alikuwa safari, nikaamua kumtumia meseji hii: "Halo dada, ninakupigia siyo kukukumbusha deni langu. Nilitaka tu kukwambia kwamba...
  11. poisson

    Kipi unakimiss kutoka kwake?

Back
Top Bottom