Search results

  1. poisson

    Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

    Unaifaham afro pop vizuri mkuu kuna vionjo vya sebene kwenye huo wimbo
  2. poisson

    Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Miradi gani anakagua mkuu au kuzindua viwanda ambavyo vilishazinduliwa au
  3. poisson

    Uzi maalumu: Picha Tu za maendeleo mbali mbali ya ujenzi Tanzania nzima chini ya Rais Magufuli

    Zote project kaziacha kikwete IPI iliyoifanya yeye nani endelevu
  4. poisson

    Website ya kupakua Movies

    www. tv21.org
  5. poisson

    Walimu kutoka sekondari kwenda shule ya msingi

    Chunguzeni asije ikawa wameshushwa kwa politics interest
  6. poisson

    Rais Magufuli nakushangaa sana

    Ushanihalibia siku yangu
  7. poisson

    Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Sasa anasikitika nini wakati yeye ndo chanzo ya yote
  8. poisson

    Wazee wa kudownload latest movie na series

    Thnx mkuu inafanya kazi
  9. poisson

    Wazee wa kudownload latest movie na series

    Husika kichwa cha habari kwa wazee wa movie na series. Luna site ambazo inaitwa fmovies.net nilikuwa naitumia kudownload movie na series naona sasa haifanyi kazi now. Naomba msaada wa site ambazo wadau mnazozijua na ambazo ni kudownload pasipo torrent na kwa kutumia simu Karibuni
  10. poisson

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Acha kuwaombea mabaya kila MTU na njia yake Usihukumu huna mamulaka ya kuhukumu
  11. poisson

    Tanzania Yashukiwa na Muujiza, Utajiri Bila Jasho

    Mkuu upeo wao nimejifunza kitu hapa axante kwa darasa mkuu
  12. poisson

    Watambue madalali wa shetani

    Endelea kuwaamini Mkuu kama hujamwelewa mshana hutokuja mwelewa yeyote pole yako evidence + reality hujamwelewa.... Endelea kutoa sadaka ukijua ni sadaka inaenda kunakopaswa..
  13. poisson

    Mafanikio Ya Diamond ni Dalili ya Kifo

    Acha ujinga
  14. poisson

    Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

    Haituhusu sisi..... Tunaaangalia good music mengine ni shida zao pambana na hali yako
  15. poisson

    DW na katuni juu ya watu wasiojulikana ambao JPM anawaficha huku wenzake wakiwaita Magaidi

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] king'amuzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom