Issue sio kuchukia au kupenda hawa jamaa wanapigania ardhi yao,ndio chanzo cha kujitoa wakijua wanapambana na taifa lenye nguvu na kiasi kikubwa wamerudisha ardhi yao.
Lebanon imegawanyika sehemu mbili west almost ni waislam north ni wakristo,ikumbukwe mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 ndio Lebanon ilianza kutulia baada ya miaka mingi ya civil war,upande wa South ndio mpakani na Israel ambako ardhi kubwa ilitwaliwa na Israel,kwa kuwa Lebanon hawana jeshi la...
Kwanza sijaelewa unauliza au unanbishana? Chukua mambo mawili,kuna mwaka Israel walipiga kambi ya UN kuishi mwa Lebanon, tukio ambalo siwezi kusahau sijawahi kuona msoma habari anashindwa kusoma na kuanza kulia picha zilikuwa zakutisha,tukio hili ndio lilikuwa sababu ya katibu mkuu wa UN wakati...
Wanasiasa wengi wanatuaminisha wasicho amini,wamegeuka wachu'uzi wanatazama nini kinalipa sokon,kama uliathirika kwa namna yeyote kwa imani yako juu ya Nassari pole sana.
Hongera sana mkuu kwa chaguo lako,ufugaji wa mbuzi hauna changamoto ukilinganisha na ufugaji mwengine.
Changamoto ni chache kama ukiwa na mtaalamu wa mifuga,ila kuna jambo la msingi ni malisho na maji safi wafugaji wengi wanalisha kwa mazoea,jitahidi kupanda majani na kuhifadhi aina ya Napier...
Siku za karibuni nimekuwa nikipitia makala mbalimbali juu ufugaji samaki kibiashara, nitaweka link baadae naamini itakuwa ni msaada mkubwa kwako na wengine.
Samahani mkuu hilo group limeanzishwa wapi,niko serious na hii issue,then nimeona kwa South Africa wapo expoters
http://patriotboergoats.co.za/boer-goat-exports/
Ukisikiliza kwa makini dakika ya 4:35 anasema alinunua madume mawili ya mbegu moja ni boer kwa msaada wa bwana mifugo kaitaja hiyo wilaya kwa 800.000 pesa za uganda,na mbegu ya savannah amenunua Kenya...alichofanya yeye nikuchanganya na local breed wanaita mubende
Nimejaribu kufuatilia hii issue ya mbegu bora,ukweli waTanzanja bado tuko nyuma sana,wa-Uganga na wa-Kenya wako mbail,nchi jirani hizi mbegu wamezichangamkia na sio mamilioni kama tunavyotishana hapa,hizi clips zitato mwanga kidogo.
Nyway naona hukujibu kiume siwezi kukuhukumu sababu sijui jinsia yako,na pia hapa si sehemu ya mipasho kwa ninavyoamini.Tunabadilishana mawazo na kuelimishana,mimi si mtu wa kubagua au kujikweza,siwezi kukunyooshea kidole sababu ya kabila,dini,au asili yako "unatoka mkoa gani" hapana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.