Search results

  1. K

    Ushawaii kufanyaa....

    Dah mie nimesoma kaengesa seminary ipo rukwa...tulipokuwa form two tulitesa sanaa form 1 aka njuka, mfollow,mnyama..hehehe sasa siku moja piga sanaa stiki form one hiyo inaitwa kata mkia huwa inafanyika trh tisa mwezi wa tisa saa tisa usiku....bwana wee ilizua tafrani maana kesi ilifika mpaka...
  2. K

    Nyumba kariakoo yagoma kubomoka

    Ww kweli kiazi, hivi ukihukumiwa kufungwa gerezani unaenda kwanza kujiandaa au hukumu inaanza maramoja..kweli kwa mwendo huu hatutafika
  3. K

    DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

    Hahahahaaaa,...unachezea sirikali ww....sita sasa apelekwe segereaa kwa kosa la uchochezi
  4. K

    US Singer & Actress Whitney Houston Dies Aged 48

    Dah dunia imeondokewa na mkaliii...ndo nasikia huo wimbo wake hapa kwa redio...I will always love u...R.I.P
  5. K

    Huduma NSSF ni kero kubwa!

    Dah, jamani nssf mbadilike jamani, yaani yamenikuta ninafatilia mafao yangu mbona najuta maana utafikili naomba msaada...
  6. K

    Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

    Dah, kongosho...shikamoo, mie two 18 kaengesa seminary rukwa 1998
  7. K

    CHADEMA yawapa raha watanzania: Taifa Lazizima

    Yaani ktk ***** ne vihio ww ni kiongozi wao...
  8. K

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Thanks dude...jf zaidi ya habari..
  9. K

    Nimempoteza anti yangu muhimbili jioni ya leo!!

    Pole sanaa ndugu....Mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amina
  10. K

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Nyambafu kabisa lisirikali
  11. K

    Kampeni ya ccm kuwalk- out kesho yapamba moto dodoma

    Hahahahaaa upo jamvini, mie nikajua upo likizo...watu wwanasema ff=vick kamata....mimi mjumbe tuu usije nizaba kibao.
  12. K

    Pinda ashindwa kupelekea madaktari wanajeshi ktk hospitali za DSM

    Hahahahahaaaa...nimeipenda hiyo
  13. K

    PM Confirm the New MPs Sitting Allowance

    Hata sikushangai nahuo upupu wako...!
  14. K

    Sumaye alipua watawala Afrika

    Yaani mie bongoland inaniacha hoi bin taabani, mtu akitoka kwa madaraka ndo utasikia eti viongozi walioko madarakani wanatumia vibaya madaraka yao.. Yeye alitumiaje?..mbona hasemi pato lake kwa mwezi lilikuwa kiasi gani na hayo majumba aliyonayo kayajengaje?.....siasa za bongo majitaka...
  15. K

    Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 apige mbizi

    Huyo ndo apewe urais si tutanyea tebe jamani....??...kalewa sifa....
  16. K

    Mtumeeeeeeeee!!!

    hahahahahahaha, wee mkaleee...nimeipenda
  17. K

    Msaada wa kisheria ...please

    Wakubwa heshima yenu.., Ninafanya kazi kwa kampuni moja ya kihindi, nipo kwa probation period of three months, leo asubuhi nimetoa resignation ya 24 hours lakini mwajiri kaniambia nilipe mshahara wa mwezi mmoja je Sheria ya kazi inasemaje? Nimejaribu kupitia sheria ya kazi ya mwaka 2004...
  18. K

    Kipindi hiki cha x-mass na new year wanaume tutapokea simu na sms za aina hii?

    1. Dear, kodi ya pango inaisha January 2012 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!' 2. Baby, xmas itakuwaje nataka nikafanye shopping Mariedo. Na nataka kwenda kusuka mwenge, naomba TShs 1,000,000. Xoxo.' 3. Mpenzi, sasa Kova utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new...
Back
Top Bottom