Search results

  1. expedition

    Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

    Kuna baadhi ya simu mbovu ukipunguza mwanga kioo kinazima, hivyo tumia hisia cheza nayo sehemu ya kuongezea mwanga uwe kama unaiongeza huenda ikawaka tena.
  2. expedition

    Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

    Ni bora hizo pesa angeelekeza kwenye mfuko wa bima ya afya ya watoto.
  3. expedition

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    Mnathibitishaje usalama wa vifaa wanavyotogewa watoto wenu! Mambo mengine kina mama muwe responsible siyo mnawaza tu urembo.
  4. expedition

    Nahitaji sehemu wanayouza nguo za ndani kwa bei ya jumla Kanda ya Ziwa

    Na hiyo Jomon nayo ni ya kiume? Huyo atakuwa siyo riziki.
  5. expedition

    Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Sawa mama wa wanangu.
  6. expedition

    Soon, Ally Hapi atakuwa ndani ya mfumo

    Basi sawa ila ni zamu ya mama kupumzika. Tunahitaji kiongozi atayesimamia kile anachokiamini siyo hawa wakuongeza namba tu kwenye kodi na kuamini usimamizi wa ma DP world.
  7. expedition

    Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

    Haya ndo madhara ya kupewa tuzo eti ya member bora jukwaa la michezo. Sasa umekwa mtu wa kusifia tu ata pasipostahili. Namimi nakuambia kwa Al ahly hii, Yanga anakufa nje ndani.
  8. expedition

    Wakati gani mzuri wa kufanyana

    Mama turejeshee tu bandari zetu, watu wameanza kufanyana huku.
  9. expedition

    Siku ya Wazee Duniani, Kitaifa Geita 6 Okt 2023

    Hivi mnatuonaje? Geita hakuna uwanja wa Kahangalala bali tunao wa Kalangalala
  10. expedition

    Kati ya Infinix na Samsung simu gani nzuri?

    Tatizo hujaweka utofauti wa bei nao tukauona
  11. expedition

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

    Ona sasa akili za wapinzani wetu zilivyo! Alowaita wapinzani bila shaka alifahamu kabisa nyie ni wapinzani tu.
  12. expedition

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

    Ni kweli Biteko hana ushawishi wowote ila ata upinzani wa kweli nao hatuna. Nchi inachezewa nyie mpo busy tu kupiga porojo mnazidiwa ata na yule Mwanasheria aliyeamua kuishitaki Serikali. Yaani nyie mpo mpo tu mnasubiri uchaguzi.
  13. expedition

    Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Weka picha tuone wakianika huo mpunga. Bila picha bado utaendelea kuoneka ni mnafiki
Back
Top Bottom