Search results

  1. busiba

    TBC Taifa sikieni

    Salaamu wakuu, Nina imani TBC ni shirika lenye lengo la kuuhabarisha umma mambo mbalimbali yahusuyo uchumi,siasa na jamii. Ndio, Sasa kwa Nini Hadi Karne hii bado Kuna sehemu TBC hii hii matangazo yake hayafiki baadhi ya maeneo nchi hii? Na Kama yapo yanaweza kukata mwezi na zaidi. Sasa lengo...
  2. busiba

    TCRA tazameni sasa hawa Dstv

    Habarini ndugu zangu, hawa Dstv ukiishiwa kifurushi tu hata tbc wanafunga. Sasa washauriwe au kuamliwa wasitudharau. Tcra kazi kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. busiba

    Makali ya kufungiwa RFA

    Jamani salamu zenu. Naanza kwa kuipongeza serikali hii kwa namna inavyotafuta mapato kutoka vyanzo vya ndani,safi. Pili ni kuhusu hali ilivyo tangu redio free Afrika ifungiwe kwa kutokulipa kodi kwa muda mrefu.Ndio kuna athali kubwa tu. Mimi ni mwananchi niliyekuwa mlaji wa vipindi vyao. Sasa...
  4. busiba

    Tukumbushane majina ya walimu wetu

    Jamani,salaam hapa,nina jambo Kwa sasa kama wengi mnavyofahamu zoezi la uhakiki limepamba moto. Kama inawezekana bila kuathiri taratibu, tukumbushane majina ya walimu wetu wa shule za msingi na sekondari. Hapa nina sababu nyingi za kusema hivi, ila chache ni kuwa wengi tunawafahamu walimu wetu...
Back
Top Bottom