Search results

  1. MoonBoy

    Dereva wa bajaji, fuso, scania na mabasi nipo hapa mkoa wowote napiga kazi

    Habari zenu wana jf?. Wahenga walisema MFICHA MOTO, MOSHI HUMUUMBUA. Ndugu zangu wana Jf? Najua humu ndani wapo wamiliki wa vyombo vya moto lakini pia wapo ndugu na jamaa ambao wana roho ya kupeana ramani za kazi Kuhusu aina ya chombo sichagui, kwasababu najua kuviendesha na nina uzoefu...
  2. MoonBoy

    Dereva wa bajaji, fuso, scania na mabasi nipo hapa mkoa wowote napiga kazi

    Habari zenu wana jf?. Wahenga walisema MFICHA MOTO, MOSHI HUMUUMBUA. Ndugu zangu wana jf? Najua humu ndani wapo wamiliki wa vyombo vya moto lakini pia wapo ndugu na jamaa ambao wana roho ya kupeana ramani za kazi Kuhusu aina ya chombo sichagui, kwasababu najua kuviendesha na nina uzoefu...
  3. MoonBoy

    Natafuta mume

    Mi nataka mke ila umri wangu mdogo kwako
  4. MoonBoy

    Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

    Nimejaribu Kwakweli lakini sikupata msaada wowote na salio lilikuwepo
  5. MoonBoy

    Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

    Kiwango kilikuwepo imekataa
  6. MoonBoy

    Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

    Nimewahi kufanya hivyo, lakini ikakataa... Niliandika 150,000 ikakataa... Sasa sijui iandikwe vipi
  7. MoonBoy

    Msaada ndugu zangu kuhusu ATM

    Nataka kujua namna ya kutoa pesa kiwango chochote. Kwa mfano nataka kutoka laki na nusu. Lakini nikiangalia viwango pale kwenye skrini sioni laki na nusu. Je? Nawezaje kutoa kiwango cha tofauti na kilichopangwa, nimeona sehemu ya kuandika, ni kajaribu lakini ikakataa, sasa labda kuna namna ya...
  8. MoonBoy

    Madereva wanahitajika MSD

    Hahahahaha, sasa hapa nilipo sina kazi nataabika hivi.. Afu tena nianze kutafuta vyeti, si nitarudi kijijini... Mana njia zote za kupata vyeti, lazima usome kaka... Sasa inakuwaje apo.... Nyie nichekieni hata pikapu nipate riziki Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  9. MoonBoy

    Madereva wanahitajika MSD

    Hizo C zingine ni vigezo tosha, ila C kavu ndio kubwa kuliko zote... Na hio kuipata lazima usome Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  10. MoonBoy

    Madereva wanahitajika MSD

    Mimi nina cheti cha udereva tu kutoka veta... Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  11. MoonBoy

    Natafuta kazi ya Udereva

    Sikati tamaa, mana mimi ni wakiume tu.. Ila nikipata ramani yeyote mimi nitafanya tu... Shukrani kaka Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  12. MoonBoy

    Natafuta kazi ya Udereva

    Asante sana ndugu Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  13. MoonBoy

    Natafuta kazi ya Udereva

    Shukrani ndugu yangu,... Napitia changamoto ngumu mpaka nahisi niko peke angu mwenye shida Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  14. MoonBoy

    Natafuta kazi ya Udereva

    Naitwa Rashidi omary Khatibu, umri wangu miaka 27, Mzawa wa tanga... Ila kwa sasa naishi Arusha Kazi niliokua nafanya ni kusafirisha mizigo mbalimbali kwenda mikoani kwa njia ya maroli, nikiwa kama dereva... Ila kwenye kazi kama mnavyojua hazikosi kasumba ndogondogo. Nina mwezi wa sita sasa...
  15. MoonBoy

    Madereva wanahitajika MSD

    Hio C na E, Nazijambia tu kwenye Wallet, kazi hakuna, natafuta mpaka natamani kuingia hata nyumba binafsi Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  16. MoonBoy

    WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

    Pole aseee, kweli zege lina wenyewe, nalijua vizuri sana, lataka moyo Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  17. MoonBoy

    WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

    Toa njia tuanze ndugu Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  18. MoonBoy

    WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

    Jamaa umenichekesha sana wewe... Daaaaahhhhh pole sana Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
  19. MoonBoy

    WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

    Mwanangu mimi nina leseni C lakini kazi Sipati,... Kila kitu kina wakati wake broo hata mimi napitia changamoto.. Ila naamini One day yes Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom