Search results

  1. J

    Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

    hawa huo uwezo wa kongoza nchi,
  2. J

    Bungeni Dodoma: Utekelezaji mradi wa bomba la mafuta kuanza mwezi huu na sio Julai

    sasa wanahangaika mpka uganda huko kutafta nini wakati tumeambiwa miradi ya kitapeli....waambieni watafte ya kwao hii wwachane nayo
  3. J

    Tafakari: J. Makamba kaposti picha akiwa na mzee Mwinyi, akikubali kwa moyo safi kufutwa uwaziri, ukiacha maneno,picha ina ujumbe gani?

    Kwa maneno yake JM aliwahi kusema kwamba kuna kipindi mzee Nauye alimusemea kwa hayati Nyerere kuhusu kuiba Ng'ombe waliondaliwa kwa ajiri ya chama. anasema mzee makamba akafukuzwa na akarudi zake kijijini bumbuli lakini alipopata nafasi ya kujitetea baada yua kuitwa kwenye mkutano, anasema mzee...
  4. J

    Mwenye ufahamu kuhusu tozo za uchimbaji mdogo mdogo

    nenda ofisi za madini zilizopo karibu watakufafanulia
  5. J

    Hivi TMAA wanafahamu kwamba "dhahabu" ni pesa ?

    KWANI BEI GANI? NA WW HUJUI KITU
  6. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    waamini wahandisi wenu wa umeme na mitambo ili siku za usoni wawe na uwezo wa kujenga miundo mbinu ya umeme tuache hii kasumba ya kuachia wageni wajenge halafu tuwe wasiamamizi
  7. J

    Top ten wonderful names from Tanzania

    mateso zanzibar. luhende mang'welela mang'wenhula mhuli
  8. J

    Sijui kwanini huwa simuelewi Vanessa Mdee?

    kuna wimbo unaitwa wet wet hata sielewi ni kitu gani ujinga mtupu
  9. J

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    sasa ndg mpaka umekuwa waziri hata historia hujui, yule mzee amefariki tangu miaka ya 92 hivi
  10. J

    Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

    pole mkuu binafsi nashindwa kuelewa namna gani hyo sumu idhuru eneo moja tu, maana acid ni chungu ingejulikana tangu kwenye kinywa, lkn mathala yapo kooni tu na syo tumboni, hili linaweza kuwa fumbo
  11. J

    Muujiza mkubwa watokea leo: Mdogo wa rafiki yangu amefufuka

    HILI TANGAZO LA BIASHARA YA DINI, MWAFRIKA URITHI WAKE NI IMANI NA SIYO DINI
  12. J

    Nalazimishwa Kutofanya Mapenzi Bila Kupenda!

    huu ndo urithi sasa unataka aamini vitu vya mzungu ambavyo kwake havipo kwa sasa
  13. J

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    acha kufananisha chuo kikuu cha taifa na ujingaujinga, maisha siyo mshahara ila ni amani moyoni endelea kukata viouno kwenye hilo chuma. yr classmate,
  14. J

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    mkuu naandika haya nikiwa nabubujikwa na machozi, kwanza nianze kwa kumtukuza Mungu kwa uumbaji wako, niseme kwamba Mungu hakeagi kila jambo linatendeka kwa waja wake lina maana yake, naamini kwamba Mungu bado anakuhitaji kuwa mtumishi wake endelea kumutukuza kuna siku utajua ni kwa nn haya...
  15. J

    Lemutuz 'Mobimba nyee nyee' amvalisha mtu pete ya uchumba

    ww fala sana umenichekesha wkt sikuwa tyr
  16. J

    Aliyeachiwa mauaji ya billionea Msuya (Mredii) aeleza mazito

    Guantanamo bay kuna mateso zaidi ya haya. mwisho wa kunukuu
  17. J

    Hii hapa A to Z kilicho muua Michael Jackson

    niko hapa kiti cha mbele
Back
Top Bottom