Search results

  1. D

    Natafuta mtu wa logistics sumbawanga

    Tunatafuta mtu wa kufanya kazi za logistics za magari mwenye elimu kuanzia kidato cha nne awe na umri zaid ya 25 years,awe anaweza kuishi sumbawanga mshaharaha laki 3,Awe anajua computer.cv atume chriss@equpointproperty.co.tz
  2. D

    Natafuta watu wa sells watatu

    Natafuta mtu wa marketing mwenye uzoefu kwenye transportation sector pia ambaye ana uzoefi na maswala ya sells. Awe mwenye elimu kuanzia diploma,umri chini ya miaka 30 anayejua computer system kama atakuwa kafanya kazi kampuni za tracking kwenye sells will be advantage. contact...
  3. D

    Natafuta mobile crusher au mtu anayeuza kokoto mikoa ya Ruvuma na Iringa

    Wakuu, Nina mradi unaohitaji kokoto mwenye mobile crusher au mwenye kujua chimbo za kokoto nyeusi Ruvuma. Tuwasiliane 0652715232
  4. D

    Natafuta mobile crusher

    Wakuu nina mradi wa barabara natafuta mobile crusher kwa kokoto.mwenye nayo wasiliana 0652715232
  5. D

    IT sells natafutwa

    tunahitaji IT sells mwenye uzoefu katika transportation sectors,product zetu ni gps tracking,fuel tracking,asset management.kama ushafanya kazi kwenye tracking companies au una convinsing power for selling pls apply chriss@equpointproperty.co.tz au contact 0652715232
  6. D

    imethibitika kuwa Lowasa ni kama gogo la ubani

    katika analysis za kisiasa imethibitika kuwa lowasa ni gogo la ubani ukilichoma ndio linazidi kunukia ccm wanavyomsema lowasa ndio watu wanavyozidi kumpenda
  7. D

    Zengwe au Demokrasia ipi inatufaa waafrica(CCM Vs Chadema)

    Wadau mimi sina kundi na ni mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo,najiuliza hivi 1.ikitokea majina ya ccm kutokatwa na yote kupelekwa mkutano mkuu nani ataibuka mshindi? 2.then wale wanaoshabikia mmoja akatwe je wanaogopa ushindani? najaribu kupata picha ya demokrasia pia na...
  8. D

    Kumekucha Dodoma zengwe laandaliwa kumkata mtu

    Wakati joto la uchujaji wa majina ya wagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kuongezeka, taarifa zimezidi kuzagaa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, mikakati ya kumuondoa Edward Lowassa kwenye orodha ya watia nia nayo imezidi kupamba moto. Kwa muda sasa NIPASHE...
  9. D

    Natafuta fundi umeme wa magari

    Anatakiwa fundi umeme wa magari mwenye cheti cha VETA umri miaka 18-24 akiwa anajua computer pia itakuwa vizuri location Dar es salaam Piga 0652715232
  10. D

    Marketing officer part time job needed

    Anatafutwa mtu wa marketing awe na sifa zifuatazo umri miaka 30 kuendelea experience awe mzoefu au awe anafanya kazi katika maswala ya masoko yahusuyo car tracking awe na good communication skill salary will based on commission after sell contact:info@equpointproperty.co.tz
  11. D

    Natafuta mtu wa marketing

    Natafuta mtu anayejua marketing nitamlipa 500,000/= per month awe anajua marketing katika IT solution.atume CV info@equpointproperty.co.tz.our company we sale IT solution to transporters and construction companies.mobile +255754096026
  12. D

    Anatafutwa Fundi umeme wa magari

    Anahitajika fundi umeme wa magari.awe na uzoefu wa kutosha Sifa: Awe amemaliza kidato cha nne au veta Awe na umri chini ya miaka 35 Awe anajua vizuri computer Wasiliana na simu 0759689095;0652715232 email info@equpointproperty.co.tz
  13. D

    Nitafuta soko la vifaa vya hospital ninazo machine zote.

    wakuu nina machine zote X ray,ultra sound,microscope,za kupima kansa,kupima moyo,vitanda vya surgery,kupima ubongo,kuzalisha,hospita uniform vyote ni from uk etc natafuta mteja +255652715232.
  14. D

    Marketing Officer

    My company is located in Tanzania Dar es salaam,am looking for young energetic marketing officer to work with.He/she has to know computer also has to be creative and high convincing.send your CV to chriss@equpointproperty.co.tz
  15. D

    Vacancy: Part Time Job

    Nina Tafuta mzoefu wa kujaza Tender Documents za taasisi za serikali,awe ameajiriwa/mstaafu nitamilipa per document. Itakuwa kama part time kwake. Mawasiliano yangu ni: +255652715232 (chriss@equpointproperty.co.tz)
  16. D

    Natafuta fuel station za kukodi katika jiji la dar es salaam

    Wakuu natafuta shell za kukodi katika jiji la dar es salaam,pls contact 0652715232.jitahidi uwe na uhakika na ownership
  17. D

    Hotuba ya genious Obama compared to Hotuba ya Dr. Uhuru day

    Na Fadhy Mtanga Jumanne, Disemba 10, 2013 Kwa Graça Machel na familia ya Mandela; kwa Rais Zuma na wajumbe wengine wa serikali; kwa wakuu wa nchi na serikali, waliopita na waliopo sasa, wageni wengine waalikwa – ni heshima ya kipekee mno kuwa nanyi leo, kusherehekea maisha yasiyo na kifani. Kwa...
  18. D

    3 Acres of land in mbezi beach for Estate

    Wakuu kuna acre 3 nimekabidhiwa mbezi beach kwa wanaojenga apartment au hospital au kumbi za sherehe au parking. kwa mwenye mteja anicheki 0652715232 au info@equpointproperty.co.tz
  19. D

    Natafuta soko la TIN na Copper Asia na Europe

    Wakuu nina sand stones za copper ore,Galena na Tin mwenye link ya kuuza ulaya au asia naombeni wakuu my e mail address chriss@equpointproperty.co.tz
  20. D

    How to get free domain

    wakuu mwenye kujua how to get free domain,nisaidieni..plz
Back
Top Bottom