Search results

  1. chimela

    Kwa wale wachoraji picha kwa kutumia rangi nahitaji msaada kidogo

    Wakati najaribu kupitia pitia mitandaoni namna ya kufanya photo screen painting kuna kifaa nilikimiss au kukikosa kabisa pengine ni kwa sababu ya ugeni katika hii Sanaaa. Kitu chenyewe kinaitwa DIAZO POWDER kwa anaefahamu upatikanaji wake hapa Tanzania naomba anielekeze pamoja na bei zake sokoni...
  2. chimela

    Fikra pofu ni kusukuma gari ukiwa ndani ya gari

    Nani anapenda kuonyesha mapungufu? Tanzania ni nchi ambayo watu wake wamejengwa kwa hofu kuu , Hofu ya kushindwa kuifananisha Leo na kesho , Hofu ya kuhoji maswali tata yenye mustakabali mzuri Wa kizazi kijacho. Ni Hofu hio inayowafanya wengi washindwe kufikia malengo waliyojiwekea ..Mwisho...
  3. chimela

    Whatsapp yangu inagoma kudowload media zote msaada tafadhali

    Husika na thread title media zote yaani picha...videos na audio zinagoma Ku upload na kudowload kwa muda sasa nawezaje kurekebisha?
  4. chimela

    Nyimbo zinazoweza kuku motivate kwenye maisha

    Miongoni mwa nyimbo ambazo hua zinaniamsha pale napohisi kukata tamaa: 1.Darasa-weka ngoma 2.Eminem ft Nate dog- till I collapse 3.Damian Marley ft nas escober- Strong will continue 4.The game-money 5.Eminem-lose yourself Ruksa kuongeza ya kwako
  5. chimela

    Hekaya za Abunuasi na kisa cha Nape Nnauye

    Hekaya za Abunuasi na kisa cha Nape Nnauye Nalazimika kurudia kusimulia kisa nilichopata kusimulia yapata mwaka sasa umepita. Naam ni stori fupi ya Abunuasi. Alipata kutokea bwana mmoja mwenye visa visivyovumilika kwa jina Abunuasi.,Sasa siku moja Abunuasi alijipa shauri kwenda msituni kukata...
  6. chimela

    Atakua ameelewa maana halisi ya kuombewa

    Sasa atakua anaelewa kwanini kila anapoomba aombewe hakuna anaemtilia maanani. Ni watu wenye wingi wa unafiki pekee na upofu wa fikra waliomuelewa.Kila goti lenye haki na ubinadamu limepigwa kwa ajili ya Tundu Lissu. Tundu Lissu hajaomba kuombewa, Tundu Lissu hajakimbilia madhabahuni kuwekewa...
  7. chimela

    Msaada kwenye Graphic design na stickers printing

    Jamani wale wataalamu wa ku design mabango,stika za kwenye magari naombeni ujuzi kidogo ikiwemo vifaa navyotakiwa kuwa navyo na hata gharama halisi za vifaa hivyo!. natanguliza shukurani
  8. chimela

    Whatsapp kwenye Blackberry 9300 msaada tafadhali

    Msaada kwenye tuta tafadhali: Simu yangu ni blackberry curve 9300 imefungiwa Whatsapp sasa nawezaje kuipata app ya whatsapp itakayoendana na uwezo wa simu yangu
  9. chimela

    Tofauti ya jana na leo iko wapi?

    Maisha ya jana na leo yanatofautiana tarehe tu Tunalazimika kuandika mengi kuhusu serikali hasa yale ya kuikosoa kwa kiwango kikubwa serikali. Sio kwamba mazuri yanayofanywa na serikali hayapo,La hasha yapo na ni mengi. Hatukosoi kwa kutaka kupata political popularity na hatunufaiki wala...
  10. chimela

    Nani wa Kuwakemea hawa?

    Mwanasiasa wa Gambia alieshindwa kwenye uchaguzi mkuu Yahya Jammeh amegoma kuachia madaraka na amesema ni Allah (Mungu) Pekee anaeweza kumtoa.Sasa kama alijua kua ni Mungu pekee ndo anaweza kumtoa madarakani kawanini Aitishe uchaguzi mkuu uliogharimu kodi nyingi sana za walalahoi wa Gambia...
  11. chimela

    Kama binadamu wote wataenda Peponi au Jehanamu vipi kuhusu wanyama wengine?

    Wale wataalamu wa mambo ya kidini awe Muislam au Mkristo au hata Mhindu naomba kueleweshwa kuhusu Peponi na Jehanamu. Imekua kawaida ya binadamu kujizungumzia yeye mwenyewe kwamba ndio ataenda peponi au Jehanamu lakini tukirudi katika vitabu vya dini tunaambiwa Mungu alituumba sisi pamoja na...
Back
Top Bottom