Search results

  1. PastorA

    Mada tata kuhusu uponyaji kwa watu wenye ulemavu na kufufua wafu

    Habari zenu wananzengo, Leo nimetafakari sana, hivi kwanini zamani tulikuwa tunashuhudia mikutano ya Injili na viwete wakitembea, vipofu wakiona sawa sawa na neno la Mungu maana hata Yesu alifanya hivyo? Kwanini leo watumishi na Makanisa ni mengi sana lakini hatuyaoni haya? Karibuni.
  2. PastorA

    INAUZWA IPad 1 inauzwa

    Umeuza?
  3. PastorA

    Computer4Sale Apple Macbook, iPad, iPhone & all accessories available for sale

    Ninahitaji iPad used jamani msaada tutani
  4. PastorA

    Wauza smartphone tukutane hapa

    MWENYE iPad natafuta haraka sana
  5. PastorA

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Naafuta Ipad
  6. PastorA

    Ipad au Tablet inahitajika haraka

    Natafuta ipad au tablet iwe nzuri na muuzaji awe wazi weka picha na bei yako hapa kama bei ni rafiki. Nakuja kuchukua haraka sana. Nipigie 0625568600.
  7. PastorA

    Natafuta vituo 10 vya watoto yatima ili kugawana nao kidogo nilichonacho

    Hivi hawa wa vituo vya watoto yatima kwann wasipite mitaani kuokota wale wengine yatima haswa sio hawa wa perfume na chips chombeza ...Mtaani kuna yatima jamani wanalala kwenye madalaja na stand za madaladala
  8. PastorA

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Sir naomba mawasiliano yako tafadhari
  9. PastorA

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nilikuwa nataka kufanya kilimo intensive sasa nina andaa kitu kama proposal ili niweze ku tackle investors kaka, so nina kusanya documents
  10. PastorA

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari za mapambano ya maisha, Naomba msaada mwenye mfanobwa proposal yoyote ya kilimo naomba anisaidie...naandaa mpango wa kilimo wa Vitunguu maji. Naomba msaada wenu niwekee hapa Pdf au DOC
  11. PastorA

    Yahusu ugumu wa maisha

    Ok sawa sawa
  12. PastorA

    Yahusu ugumu wa maisha

    Ww umetumia njia gani za kupata mtaji?hayo ndio tunataka kujua utysaidie na sisi kupata mitaji
  13. PastorA

    Yahusu ugumu wa maisha

    Hahahahaha
  14. PastorA

    Yahusu ugumu wa maisha

    Uzi huu mfupi tu lakini naomba tuutafakari sana. Nini future ya maisha yetu sisi Vijana kwa ugumu huu wa maisha na kukosa kazi huku? Maisha yamekuwa magumu sana jamani kama vijana nini tufanye?
  15. PastorA

    Kuharibika barabara: Wakazi wa Ubungo wajuta kuichagua CHADEMA wadai imekuwa " kama" walitenda dhambi!

    Hata sisi watu wa huku mbezi daaa...wacha tusubiri uchaguzi
  16. PastorA

    AHJ-WAJAMAA chama kipya cha siasa hapa nchini kinataka kuanzishwa

    Hahahaha team Membe mmeanza mapema sanaa ila ndio nzuri .kioa la kheri sisi tutaomba na atakae faa basi atashinda
  17. PastorA

    AHJ-WAJAMAA chama kipya cha siasa hapa nchini kinataka kuanzishwa

    Kumekuchaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom