Search results

  1. S

    Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

    kama ilivyo hali halisi inavyojionyesha nchini tanzania katiba ni ya ccm watawala ni ccm wateuliwa wote ni ccm sasa serikali inaposema uchaguzi huru hamuoni kabisa ni kudanganyana . nianze kwa kusema kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mwanaccm kindakindaki na hata uteuzi wake unajulikana...
  2. S

    Yatakayokuja kumkuta huyu bwana baada ya kuondoka ofisini

    . opo siku maovu yake yote yatajulikana na kusomewa mashtaka zaidi ya 198 time wll tel
  3. S

    Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

    mtoa post anafaa kugongwa nyuma ningekuwanae karibu angenyonya mkonga muda huu
  4. S

    Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    nadhani list bado wametuumiza sana kweli dhulma humrudia mtenda cc nape ,mwigulu
  5. S

    Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Huyu ni Waziri mzigo kama kinana alivyoweza kusema ukweli,simtofautishi na Waziri Fulani wa pwani aliyebebwa na jk enzi hizo mpaka kero
  6. S

    Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Ni aibu kwa watu tunaowahisi kila Mara hawaishi kwenda misikitini na makanisa tofauti tofauti kusali ila hawataki kulipa stahiki za tl za kisheria kabisa sasa sijui ni mungu yupi atakae sikiliza maombi yao ,au ni unafki tu kutuzuga na bado aibu wanayo na vipara vitaongezeka sana kwa laana...
  7. S

    Mbadala CDA bado tu kama tupo na CDA Dodoma

    Ni muda sasa tumekuwa tukisubiri maeneo yetu yafikiwe na miundo mbinu sahihi kama vile maeneo kupimwa Barabara nk lakini malengo ya upimaji yako palepale ila utekelezaji ndio mwendo wa Kobe, Sehemu kama Nzuguni kwa Manispaa ya Dodoma ni sehemu kubwa majengo makubwa lakini hayana hati hivyo...
  8. S

    AG Kilangi hongera na pole; Jaji Masaju karibu kilingeni

    Hakuna mahakama yote maamuzi toka juu
  9. S

    Kwanini Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yakiwa chini ya Watu wa Mara yanakuwa Imara na Kabambe?

    Duh ila Mara ngangari labda Huyo mbishi afike nyamongo aone hata kidogo wamara walivo
  10. S

    Uchaguzi wa Kinondoni: Msimamizi wa Uchaguzi amenifurahisha, mpambano uanze!

    Huyo msimamizi nimempenda bure kinachotakiwa wapambane majukwaani
  11. S

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Mtolea ni aibu ya mwaka 2018 katika siasa za Tanzania na akifeli atamfwata mrema kivyovyote
  12. S

    Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi atoa somo la sheria Bungeni

    Mbona kabudi ni profesa njaa kama wana njaa wengine lipumba,mwakyembe,bashite .hili ni group njaa kali ccm ya magufuli
  13. S

    Boom langu natafuta mtu tuanzishe mradi wa kuku kienyeji

    Dah tafuta biashara zingine hiyo noma na ni hatari
  14. S

    MEYA JACOB kutoa vijana wa CHADEMA, kumuondoa Lipumba Makao Makuu Buguruni

    Ruzuku imeisha ofisi haikaliki vijana wa lipumba hapa buguruni wanashindia mihogo lipumba atakimbia mwenyewe kwa sssa analishwa na pesa haram za sakaya anazopata bungeni wakati sio mbunge tena sema bunge lambeba
Back
Top Bottom