Search results

  1. C

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    nakupa tano mbunge wangu....wembe ni ule ule
  2. C

    Wanawake wanavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume

    Acheni uvivu ..WASHA MTOTO NAFURAHI!!!
  3. C

    Wananichanganya sana pliz naomba mnisaidie!

    Dogo acha usharobaro , dunia ya sasa kuhangaika tafuta kazi mapenzi baaade ebu jaribu kuwa mtu mzima bwana ...
  4. C

    DPP: Ushahidi Kagoda unakaribishwa

    Tunahitaji nguvu ya umma sasa , maana tumedanganywa sana na hawa wanasiasa...
  5. C

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    Yaani huyu jamaa ni kilaza na hana vision kabisaaaaa!!!
  6. C

    Uganda's Opposition harmed by Museveni's hard tactics

    Hawa ndio viongozi wetu wa kiafrika...wanaona raha sana kukimbizwa na magari barabara zikiwa haziruhusu magari mengine , wao tu sasa unafikiri wataachia madaraka kweli? Hebu jamani wana JF tufikirie dawa ya kutibu hili tatizo la kuwa ving'ang'anizi hawa viongozi wetu....
  7. C

    Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

    kwanza ulivyo tu sura yako ni ya kikatili , unatisha!kama mchawi vile...lione kwanza..
  8. C

    Kakobe amfananisha babu wa Loliondo na DECI

    Hana sera huyo...tapeli la kidini tu.Wadanganye watu wako kanisani.
  9. C

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Haya mataifa makubwa nayo jamani hayafai huwa hayana msaada mtupu lazima kuna kitu wanakitaka ambacho ni mafuta ya libya...kama si hivyo mbona ivory coast hawaendi...? tuwaangalie sana hawa jamaa na misaaada yao.....
  10. C

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Lakini jamani hata kama akishinda , atamuongoza nani? Cha msingi tu ang'olewe madarakani kibabe, apande mtu mwingine...lakini Libya haitakuwa kama Libya ya zamani....
Back
Top Bottom