Search results

  1. J

    Ng'ombe dume 600 wanauzwa

    Habari, Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni. Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri. Bei ni maelewano. Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining Mawasiliano ni 0768625199 Karibu sana.
  2. J

    Msaada: Matokeo yatu hayaonekani NACTE. Tuchukue hatua gani?

    Nimehitimu diploma katika chuo cha kati cha private fani ya mifugo mwaka 2022. Baada ya matokeo kutoka mimi pamoja na wenzangu (classmates) tukiangalia verification zetu NACTE tunaonekana tumeishia kusoma mwaka wa 1 semister 1. Tukiulizia chuo tunaambiwa wao chuo matokeo tayari walishapeleka...
  3. J

    Gharama za kulipia Azam Tv ni kubwa kwa Tanzania kuliko majirani zetu

    Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi...
  4. J

    Natafuta kazi, Nimesomea Animal Health and Production

    Habari, naitwa Hamis, Nimehitimu mafunzo ngazi ya diploma kozi ya Animal Health and Production. Naomba mwenye nafasi ya kunitafutia mwenzenu kazi ya kujiitolea kwanza kwenye. Makampuni yanayo relate na Animals ntashukuru sana. Simu namba 0627544910. Location Bagamoyo Pwani
  5. J

    Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  6. J

    Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa? Aliewahi kufanya hivi anijibu
  7. J

    Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
  8. J

    Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

    Habari ndugu zangu watanzania Mi ni kijana umri miaka 25 Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november
  9. J

    Samsung note 4 firmwale

    Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu maana kwa africa naons south africa (vodafone)
  10. J

    Mnalionaje hili wadau

    Ukinunua kifurushi cha wiki mfano vodacom assume leo trh 1/4/2021 saa 10:30 asubuhi kitaisha 7/4/2021 saa 10:30 asubuhi Lakini ukinunua kifurushi Azam tv cha wiki mfano trh 1/4/2021 saa 10:30 asubuh wao wanakata trh 6/4/2021 saa 23:59:59 usiku Kwanini hii siku ya 7 wasiiache hadi muda...
  11. J

    Ushauri kwa kada ya Afya

    Ningepata muda wa kuishauri serikali yangu ningewaomba vyuo vyote vya afya visingefunga chuo kipindi hiki cha janga la korona badala yake hawa wanavyuo wangehitajika kushirikiana na wataalam waliopo katika kuendelea kutafuta suluhisho la ugonjwa huu na kuachana na dhana za kuendelea kusubiri...
  12. J

    Ushauri: Diploma ya Animal health & production vs Computer science

    Naomba ushauri, nahitaji kuchagua kati ya hizi kozi mbili ipi nibora nikasome mwenye uelewa nazo anisaidie ushauri
  13. J

    Chuo cha afya Apple Valley

    Mwenye kukifahamu hiki chuo naomba anisaidie details za hapo, mazingira yalivyo na gharama za maisha zilivyo Au kama kuna chuo kingine cha bei nafuu kinachotoa kozi ya pharmacy waweza nieleleza
  14. J

    Nauza ama kubadilisha simu yangu

    Habarini nina simu aina Ya Microsoft Lumia 640 xl dual sim ina window 10, Ram gb 1 na 8Gb space yake, kwa mwenye interest nayo anaweza nicheki nikamuuzia ama tukabadilishana nahitaji simu ya Android karibuni, Ahsante..!!
  15. J

    Natafuta Flat screen inch 32

    Kwa mtu mwenye Tv ya Flat inch 32 kama anauza anichek tuongee biashara, nipo Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  16. J

    Jipatie Free Sport Channels kama upo Mwanza

    Kama kuna mkaz wa Mwanza na maeneo ya Jirani unahitaji kuangalia mpira bila malipo ya Mwezi contact me 0659953382 sms or Whatsap Nnauwezo mzuri wa kuweka kwa dish kuanzia 6ft ila vizuri zaidi 8ft
  17. J

    Natafuta shule ya Private A level yenye mchepuo wa CBG katika mikoa hii Mbeya na Morogoro

    Mwenye kujua shule ya Private A level yenye mchepuo wa CBG katika mikoa hii Mbeya, Morogoro na Mbeya anisaidie kunitajia majina yake, sifa zake katika kufaulisha wanafunzi na Gharama zake pia Nawasilisha
  18. J

    Ataweza kusoma kozi ya computer science

    Huyu anahitaji kusomea Computer Science ila ana F ya Phy & Math Anaweza kwenda huyu Kwa mwenye uelewa zaidi asaidie mawazo ila pia wazo Jipya litakua bora pia Total Mark C zote exept Math & Phy ni F
  19. J

    Naomba ushauri kwa ufaulu huu

    Ndugu zangu, naomba mtu au watu wenye uelewa mkubwa wa maisha ya masomo wanisaidie kunipatia ushauri wa kielimu Mtihan wa kidato cha nne nna dv 3 ya 22, masomo mawili nna F, Phy na Maths Civ nna D na Mengine yaliyobaki nna C Advance sio chaguo langu Msaada Tafadhali ndugu zangu
  20. J

    Course Ipi Bora kati ya hizi

    Oldinary Diploma in Animal Health and Production Agriculture in General Computer Science???
Back
Top Bottom