Search results

  1. zimmerman

    Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

    Hivi umeme kukatika Benjamin Mkapa Stadium mbele ya halaiki ya dunia mnaona ni suala la kawaida? Embu oneni aibu bhana kama raia wa kawaida tunavyoona aibu. Mnakimbilia kuitangazia dunia ije kuwekeza Tanzania, ije kuitembelea Tanzania, wakati hatuwezi kufix vitu vya kawaida tu kama umeme...
  2. zimmerman

    African scientist who discovered Omicron variant says world’s response ‘unfair’

    Magufuli alipokataa ujinga huu, wa nchi za kiAfrika kucheza siasa za wazungu za corona, nadhani hawakumwelewa wenzake kwenye corridors of power. Ni hivi: mzungu hutumia kila fursa yoyote, liwe jambo jema au jambo baya kama janga hili la dunia kukazia ile imani yake ya ndani kabisa asiyotaka...
  3. zimmerman

    Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  4. zimmerman

    Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

    Hii ndio habari ya kuvutia kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu cabinet reshuffle? ----- Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor Mon, September 13, 2021, 4:06 PM Hassan put Makamba in charge of the strategically important ministry of energy (AFP/-) Tanzania's...
  5. zimmerman

    #COVID19 Delta variant has wrecked hopes of herd immunity, warn scientist

    The Telegraph Sarah Knapton Tue, August 10, 2021 Scientists have called for an end to mass testing so Britain can start to live with Covid Scientists have called for an end to mass testing so Britain can start to live with Covid The delta variant has wrecked any chance of herd immunity, a...
  6. zimmerman

    Israel may place US under severe travel warning

    Kwangu mimi hii habari inaonyesha positive legacy ya utawala wa JPM: pamoja na kwamba Tanzania haikufuata strict guidelines za WHO kuhusiana na corona (lockdown, masking, etc), Tanzania haipo kwenye red au yellow list ya nchi, kama Israel, zinazokataza raia wake kutembelea kabisa au kuzitembelea...
  7. zimmerman

    How effective are vaccines in dealing with corona virus? Israel's story

    Jerusalem Post Health & Science Coronavirus in Israel: What do we know about the 143 hospitalized people? By MAAYAN JAFFE-HOFFMAN JULY 21, 2021 18:07 Of the 143 hospitalized patients, 58% were vaccinated, 39% were not at all, and 3% were partially vaccinated. Some 143 Israelis were...
  8. zimmerman

    Serikali inayobadilisha maamuzi yake kwa kutegemea upepo ni Serikali dhaifu, haifai

    Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
  9. zimmerman

    COVID: Israel registers 501 new cases, cabinet to meet on new measures

    Habari hii hapa chini kuhusu ongezeko la maambukizi mpya ya corona huko Israeli, nchi iliyochanja raia wake wengi kiasilimia kuliko nchi nyingine yeyote duniani, inaonesha jinsi ambavyo Magufuli was all right kuhusu corona, namna ulivyo ugonjwa ambao itabidi tujifunze kuishi nao kama...
  10. zimmerman

    Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
  11. zimmerman

    Rais Samia, fanya haya katika suala hili la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga

    Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030. Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu...
  12. zimmerman

    Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

    Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya. Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli...
  13. zimmerman

    Falsafa ya MATAGA - Make Tanzania Great Again

    Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"? Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo mpya wa nchi yetu. Doctrine ya MATAGA ni kujenga nchi yenye sifa zifuatazo: Viongozi watakaoweka...
  14. zimmerman

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo: Kwanza, usiturudishe...
  15. zimmerman

    Kanuni 5 muhimu katika kumtext binti wakati wa kumfukuzia

    Miaka ile lilipokuja suala la mawasiliano/kutongozana na warembo, zile barua zetu za Kihenga “Dhumuni la barua hii….” ndo ulikuwa mwendo, si ndio? Leo hii tunatext, whatsapp, email, Insta na viapp vinginevyo kibao vinavyofanya kuwasiliana na warembo iwe rahisi sana popote pale, muda wowote ule...
  16. zimmerman

    Zijue hatua nne anazopitia mwanamke miaka 18 – 35 katika mahusiano na tabia zake

    Miaka 18 – 22 Ni kipindi ambacho binti huanzisha mahusiano yake ya kimapenzi, kwa maana ya kwamba ukikutana na mabinti 10 walio katika umri huu 8 watakwambia wana “boyfriend”. La msingi kutambua ni kuwa mabinti wa umri huu mara nyingi wanakuwa hawajajenga mahusiano yao kwa malengo ya msingi au...
  17. zimmerman

    Kuna ukiritimba kwenye vibali vya serikali kusafiri nje watumishi wa umma

    Vibali vya kusafiri nje kwa watumishi wa umma vilivyoanzishwa na Rais Magufuli vina nia njema kabisa. Hilo halina ubishi na faida zake tunazijua. Kinachoudhi ni kwamba kwa mtanzania kila kitu kitu rahisi na chema kitageuzwa kigumu na kero. Wizara zote ziko Dar, mtu unataka kusafiri nje inabidi...
  18. zimmerman

    Zitto Kabwe may be a Narcissist

    Wanajukwaa wa JF, Hii nimeikuta mahali na nimeshtushwa kuona tabia zilizoorodheshwa hapa chini zinakaribiana sana na mienendo ya Zitto hasa kauli zake. Kwa bahati mbaya imeandikwa kwa kiingereza lakini kwa tafsiri isiyo rasmi na kwa kauli za mara kwa mara za Zitto, mfano: mimi ndie mbunge...
  19. zimmerman

    Udini ukififia nchini, atakayepoteza sana ni CCM

    Nachelea kuandika hivi nisije kuonekana mchochezi kwa vile hili suala hivi karibuni limekuwa sensitive sana miongoni mwetu. Kama itakuwa hivyo, Mods, msisite kuifuta post yangu mara moja. Jana nilikuwa nikipita katikati ya jiji la Arusha, nikapita pale stendi kuu nikakuta kibanda kimoja...
  20. zimmerman

    Kamishna wa Polisi Zanzibar ni mtu wa ajabu sana

    Huyu bwana jina lake ni Mussa Ali Mussa kauli zake ni za kushangaza sana. Haonyeshi weledi wowote kwa nafasi yake aliyonayo kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi wote waishio visiwani Zanzibar. Tangu kuuawawa kwa Padri Mushi lugha yake ya Mwili na kauli zake ni tata na hzionyeshi imani...
Back
Top Bottom