Search results

  1. buffaro89

    Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Kumekucha sasa! Wazee wa kujisifia!
  2. buffaro89

    Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

    Kitimoto Swala Kitimoto rost
  3. buffaro89

    Sitosahau nilivyokoswa na risasi nikiwa baa

    Acha sasa! Kuenda bar
  4. buffaro89

    Natafuta mume wa kweli

    Kwa umri huo, Nani asiwe na mtoto na anasubiri nini kutokuwa na mtoto, wanawake bwana, chongeni wanaume mnao wataka! Kwa fundi selemala
  5. buffaro89

    Natafuta mpenzi (ME)

    Isagha kuinbobo kalumbu!
  6. buffaro89

    Kiasili Mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana, ishi nae kwa akili

    Mimi nimewekwa hadi ndani kisa nadai pesa yangu, nilimfanyia kazi ya mkataba ndugu yangu, akawa analimbikiza madeni, siku deni likaja kuwa kubwa, katika kudaiana, tena alikuwa ndugu, aisee kanitia ndani, kaka kabisa, kanitia centro police, huyu jamaa anaroho mbaya japo ni ndugu yangu,
  7. buffaro89

    Computer4Sale Lenovo thinkpad core i5

    Core i5 Ram 4 Sina harddisc Betri haikaii Bei 190,000/= Nipo mbezi maramba 0693300971
  8. buffaro89

    Plot4Sale Nyumba za kupanga zinaumiza nauza kiwanja king’azi, Dar es salaam, no udalali pia kimepimwa

    Kiwanja kipo king’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi, sio mbali na kwa dr ndodi, kiwanja, umeme na maji vipo hapo hapo, bajaji kwenda mbezi ni buku, pikipiki zipo, magari ya kukatiza route kutoka mbezi ni mia tano, Eneo lina ukubwa wa hatua 23 kwa 20 Bei million 7.800,000/= Pazuri sana piga...
  9. buffaro89

    Tatizo la kujisadia choo chenye damu iliyo ganda baada ya kutumia dawa za amiba

    Kichwa cha habari.. kinajieleza. Naomba msaada wa kitabibu. Nilipata amiba kama mwezi sasa.. nikanywa dawa... nikapona.. lakini sasa... napata choo chenye damu mbichi na iliyo ganda. Ingawa ninatatizo la bawasiri... ambayo haiumi sisikii maumivu.. nilisha pona lakini kwanini ninamwaga damu...
  10. buffaro89

    Tutafutane hapa jamani

    Chochote kinaweza tokea.. mwanamke anitafute...
  11. buffaro89

    Natafuta mwenza hatimaye baadaye

    Natafuta mwanamke 1. Mimi ni Me 2. Umri wangu 32 3. Elimu ninayo 4. Tall & black hivi 5. Ninakazi ya kuniingizia kipato Ninaye mtafuta awe 1. Mwanamke mstahalabu mkristo 2. Umri 17 hadi 30 3. Msomi 4. Awe anajishughulisha 5. Awe serious kinyume na hapo sihitaji Nipo MOROGORO
  12. buffaro89

    Mbona siwaoni waoaji mwe!

    Sema ilo jina la kuku mkuu nalo linaogopesha sana.
  13. buffaro89

    Mbona siwaoni waoaji mwe!

    Njoo bobo
  14. buffaro89

    Nahitaji marafiki

    Karibu mimi nipo tayari kuwa rafiki yako.. maelezo zaidi karibu ndani kwanza..
  15. buffaro89

    Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

    wenzio kwa age ya 23 tulianza kumiliki kiwanja Dar es salaam, kufikia 27 tulinunuwa magari, sio kwamba ninajisifu, maisha ni yako mwenyewe, hakuna mtu atakuja kukuletea kapu la mafanikio, heshimu fedha iwe ndogo au kubwa, matumizi sahihi, maamuzi sahihi, mademu pembeni kwanza, jitume jibidishe...
  16. buffaro89

    Wadau nina hoja naomba kuiwasilisha mbele yenu kwa ajili ya michango

    nikafikiri michango ya hela na january yetu pendwa! JANUARY( MWEZI 1, MWEZI 2, MWEZI WA 3)
  17. buffaro89

    Mada maalum kwa wanandoa

    Total Desperate, hauna jinsi, ndoa haikwepeki aisee!
Back
Top Bottom