Search results

  1. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    https://youtu.be/Nnk-ZTsij9Q?feature=shared K
  2. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    https://youtu.be/Nnk-ZTsij9Q?feature=shared
  3. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    https://youtu.be/Nnk-ZTsij9Q?feature=shared
  4. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    Jibu hoja kama dola huwa inatolewa bure
  5. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    Mimi ni mfanya biashara nna mtaji shule sikwenda nyie wasomi mnaojiita mainjinia mje mjibu mnaisaidia vipi nchi
  6. richaabra

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    Nchi inaagiza bidhaa nnje hadi njiti za masikioni tunashindwa kutengeneza wenyewe..meli zimerundikana Bandarini zikisubiri kushusha mizigo ila hakuna meli zilizorundikana kusubiria kupakiza mizigo.. hiyo dola itaachaje kuhadimika Rasilimali viongozi wanasaini mikataba ya hovyo hovyo kujali...
  7. richaabra

    Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    umenena mm mwenywe sianikagi maisha yangu
  8. richaabra

    DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    wafanya biashara wa mbagala wawe wasafi tu, pale ni pachafu sijawah ona
  9. richaabra

    Matajiri acheni ubahili mnatia aibu

    kala ban hahahaha
  10. richaabra

    Matajiri acheni ubahili mnatia aibu

    takataka mkeo yako ingia google andika nssn v8 uonee
  11. richaabra

    Matajiri acheni ubahili mnatia aibu

    Nina kaka yangu kaajiriwa kwenye kampuni fulani ya mafuta ya mwarabu hapa Dar. Kazi yake anamuendesha Tajiri mwenyewe Anamuendesha Tajiri siku nzima anazungusha tu Nissan v8.. ikifika mwisho wa mwezi mshahara take home 220,000 mtu ana familia halafu anamuendesha Tajiri anayeingiza mabilioni kwa...
  12. richaabra

    Hawa vijana wa SUMA JKT walikosea wapi?

    kutopata ajiria bakabaka
  13. richaabra

    Hawa vijana wa SUMA JKT walikosea wapi?

    Ni mda hawa vijana wa Suma JKT yaliskika malalamiko mara wanapiga watu kwenye malindo yaani ni watu wavurugu vurugu sometime kama wana sress za maisha, wengine sehem nyingi wamekuwa wakipoteza malindo kama mwendokasi, pale ferry siwaoni tena sijui shida yao ni nini. Lakini tukirudi kwenye mada...
Back
Top Bottom