Search results

  1. Sheikh23

    Masada, nafungiwa watsapp kila baada ya 48 hours

    Wakuu Msaada, Kwa aliyewahi kupitia kadhia hii, alipataje ufumbuzi. Nimekuwa nikiwatumia e-mails, na ujumbe kuwaomba wafungue account yangu, ikifunguliwa haizidi 48 hours inafungwa tena. Natanguliza shukrani kwenu.
  2. Sheikh23

    Simba inavyotumia nguvu kubwa kuhamisha agenda ya kukosa vikombe msimuu huu

    Wanajamvi na wanaspoti habari za wakti huu.... Nitangulie kutoa Pole kwa Wanayanga wenzangu,ila pia nitoe pongezi kwa viongozi,socialites & pundits wote ambao ni wanazi wa simba kwa kuzika madhaifu ya timu yao,kwa kusajili magalasa na kukosa vikombe[nbc pl[emoji777]️,Azam sports...
  3. Sheikh23

    Hawa ni wababe,miamba,mabingwa wa Battle Tanzania

    Orodha hii[emoji116]ni mtazamo binafsi wa watu ambao ukianzisha nao mgogoro (battle) basi itakubidi jeshi lako ulipange vizuri,la sivyo utasalimu amri,au kuomba msaada (poo) au kusubiri huruma za wananchi kwako,maana mapambano yao ni 'weka ugoko,niweke jiwe' ni nondo baada ya nondo,nadhani...
  4. Sheikh23

    Mwenye uelewa kuhusu bidhaa za simu Used za Nje Almaarufu "Used from Abroad"

    Habari ,nimeshawishika kutaka kununua simu used from abroad ambazo zinauzwa na kunadiwa mitandaoni, hii ni kutokana na kigezo kimoja tu cha bei, kwani nyingi ni za viwango na ni za matoleo ya hivi karibuni, pia bei zake ni affordable ukilinganisha na bei ya simu hizo kama utazinunua kwenye...
  5. Sheikh23

    Mtoto wa 3 Months Mafua hayaishi, msaada wajuzi

    Wakuu habari, niende moja kwa moja kwenye mada, nikiwa nmezingatia visababishi vyote vya mafua km vumbi, manukato, moshi na vyote vinaavyofanana na hivyo, bado mtoto mafua hayaishi. Hospital wanadai ni hali ya kawaida, nilishauriwa apate Dr cold syrup imedunda, Cetrizen syrup imedunda. Msaada...
  6. Sheikh23

    Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

    Habari wadau wa ujenzi,naomba ufafanuzi juu ya tiles/vigae,ni criteria zipi/au kipimo gani/tunaangalia nini na nini kujua tiles hii ni bora? Hapa nazungumzia tiles za sakafuni especially za kuweka vyumbani, sebuleni, kibarazani, koridoni na sio jikoni na vyooni. Je bei kuwa kubwa ndio tiles...
  7. Sheikh23

    Nimejiridhisha ana chuki binafsi juu yangu, hatua gani ifuate?

    Habari za muda huu, nitafupisha stori ila mwisho wa yote naomba ushauri maana jukwaa hili lina wadau wengi ambao pia huenda yashawakuta au yamewakuta ndg, jamaa, rafiki wa karibu au pia hata kuwahi kusikia haya nitakayoyaeleza. Iko hivi, nina staff mate wangu ambaye anapenda kuvalia njuga...
  8. Sheikh23

    Msaada kwa aliyewahi kuuza deni toka Benki moja kwenda nyingine

    Wakuu habari,kwa mwenye uelewa juu ya masuala ya kibenki au aliyewahi kuuza deni kutoka bank moja kwenda nyingine. Kiufupi nimeomba loan balance kati ya moja ya bank pendwa ili salio la deni langu lilipwe na benki nyingine inayokuja kwa kasi na yenye riba nafuu,sasa nilichokutana nacho ni kiasi...
  9. Sheikh23

    Msaada,Simu Inaji_restart automatically

    Wadau habari,nilinunua simu (tecno-spark7) smartphone mpya K.koo,shida inaji_restart,Carlcare (mafundi maalum wa tecno phones) nimeenda bado hali ni ile ile. Duka nililonunua wanasema wanaoweza kunipa/kunibadilishia simu mpya ni hao hao Carlcare baada ya kushndwa kufix problem kwani wao na...
  10. Sheikh23

    Balloon D'or na NBC PL fair competition

    Morisson hayupo,Fair Competition iko wapi hapa[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji860]Kolo mmoja analalamika hapa jirani yangu,sijui nimjibu nini? Makolo Bwana[emoji2][emoji38][emoji38]
  11. Sheikh23

    Msaada tutani wadau wa samsung phones

    A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi. Device ni Samsung A12 Natanguliza shukrani za dhati...
  12. Sheikh23

    Tusikitike kwa wanamichezo wetu wanaposhindwa,kuwabeza sio Uzalendo

    Wadau habari,kumejengeka utamaduni usiofaa wa kubeza,kukejeli na hata kutusi pale wawakilishi au muwakilishi wetu kwenye shindano au mashindano fulani anapo_fail. Binafsi sijui roho hii mbaya wa_tz tunaitoa wapi,mahala tunapopaswa kusikitika tunafurahi,tunapopaswa kumtia mtu moyo na kumfariji...
  13. Sheikh23

    Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

    Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo ya Dstv,M_bet na Asas. Mbali na kutafuta umaarufu mavi[emoji90],mwandishi huyu anaitumia yanga...
  14. Sheikh23

    Kupooza kwa Simba Day leo 19th Septemba tatizo limeanzia wapi?

    Nitashambuliwa ila ukweli na uongo havipikiki chungu kimoja,leo Simba Day imepoa sana ndugu zangu,nnaweza kutafsiriwa vibaya ila Ona hali ilivyokua saa 2:00 Asbh siku ya Wananchi na hali ilivyo muda huu saa 6:30Mchana Simba Day Hakika Yanga wana mashabiki wengi na wanaohamasika na kuchukua...
  15. Sheikh23

    Uzi maalum: Visa vilivyowahi kukutokea ukipata tiba kwa mganga wa kienyeji

    Wakuu habari,pasi na shaka wengi wetu tumewahi kuhudhuria kwa mganga/waganga wa kienyeji kwa shida mbalimbali za miili yetu na maisha kwa ujumla.Nishee nanyi visa/madhira niliyowahi kuvisikia toka kwa watu wangu wa karibu ktk kutafuta uzima kwa wataalamu hawa; 1. Mzee jirani alipelekwa baharini...
  16. Sheikh23

    Nashauri Maadhimisho ya "Siku ya Mwananchi" yawe Public Holiday

    Wanajamvi Habari,unaweza usiungane na mimi ila ukweli utabaki kua ukweni,nia,lengo,utekelezaji na manufaa/faida ya shughuli ya Young Africans SC "Yanga" kuanzia kwenye wiki ya wananchi mpaka kilele chake yanaonekana. Tukianzia Wiki ya Wananchi,hapa timu yenye historia kubwa,mabingwa mara 27 wa...
  17. Sheikh23

    Ni Raha sana kumfunga mtani kuliko kubeba Kombe

    Habari wanajamvi, tangia dakika 90 ziishe (Simba 0_Yanga 1) nimebaini kupitia mashabiki kindaki ndaki wa timu hizi yakuwa ni raha sana kumfunga mtani ikiwezekana nje ndani yaani 1st & 2nd round kuliko kuchukua kombe la ligi(Vpl). Utafiti huu umehusisha wapenzi wa SSC na Young Africans...
  18. Sheikh23

    Mzee Mpili Amekubali, Simba na Yanga kupigwa July 03

    Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169]. Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula kichapo,naiona timu yenye matumaini ikienda kupata aibu ya mwaka,nawaona Red Cross na Askari wakihangaika...
  19. Sheikh23

    Edo afunga comment baada ya raia "kusala"

    Wanajamvi habari,baada ya mteule huyu wa Mwigulu Nchemba mwenye jukumu la kuhamasisha watanzania wanyonge kulipa kodi kwa hiari kupost jokes,wanyonge wamemuelewa tofauti hali iliyopelekea kufunga comments kwenye post hiyo...raia hawataki jokes [emoji116]
  20. Sheikh23

    Msaada tafadhari, Modem Inazingua

    Habari wakuu,modem yangu (vodacom) inakata mtandao, yaani sometimes yes, sometime no na muda mrefu inaandika No Service. Najua humu wapo wajuzi zaidi, Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Back
Top Bottom