Search results

  1. Sheikh23

    Naomba kujuzwa faida za kuwa na GREEN CARD ya Marekani

    Wajuzi njooni,information is power...
  2. Sheikh23

    Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Maisha now hayaeleweki,kupata pesa kunaweza kusichangiwe na elimu kubwa uliyonayo bali connection,ujuzi,lugha nzuri kwa wateja unaowahudumia kwa service unayotoa na uaminifu. Ni kweli wapo madogo wengi wamejipata kitaa,tena wenye elimu tu ya FIV plus vyuo vya ufundi na vyuo vya kati,wanajituma...
  3. Sheikh23

    Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Yako mambo mengi nyuma ya pazia yanayoendeshwa kisiasa,kwa muda mrefu raia/taasisi binafsi zmeyakalia kimya,now watu wanaamka kui_challenge gavoo,hii ni bad alert kwa mama.Suluhu itafutwe as soon as possible
  4. Sheikh23

    SIMBA SC, mnaweweseka, mafanikio ya Yanga yatawashangaza mwaka huu

    Eti Inonga mgeni rasmi siku ya mechi ya Jwaneng[emoji23][emoji23][emoji23] Ubunifu mwingine[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  5. Sheikh23

    Freddy Michael vs Guedde

    Guede gari halijapata moto tu,ila ni striker mzuri,attempts alizofanya game zilizopita before game ya leo na Polisi TZ zilinitoa hofu kuwa 1day atafumania nyavu...Hatimae amefungua akaunti ya magoli
  6. Sheikh23

    Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

    Nikikumbuka zuio alopewa ADB na Ubalozi wa Marekani kutokanyaga U.S mpaka leo najiuliza,ni kwa ushahidi upi mpaka U.S ikampiga Ban ilhali Bongo huyu mtu ni msafi! Kwa mujibu wa zuio lile moja ya sababu ilitajwa kuwa ADB anadhulumu haki ya uhai wa binadamu,elewa neno kudhulumu haki ya uhai[emoji24]
  7. Sheikh23

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    R.I.P Thadei Ole Mushi,tutamis sana maandiko yako
  8. Sheikh23

    Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Ile beat na chorous ya t.i.d ni konyo[emoji119][emoji119][emoji119]
  9. Sheikh23

    Kampuni ipi Bora ya solar panell Watt250?

    Sundar hutojuta,Betri Zec (dry cell) au km utaweza tafuta betri zinazotumiwa na kampuni ya Rex energy,na zenyewe ni dry cell,utaleta mrejesho...
  10. Sheikh23

    Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

    Huyu ndiye alipaswa kuwa Mufti,Basi tu!
  11. Sheikh23

    Hii ndio Siri ya mafanikio isiyosemwa sana Yanga

    Mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika,natamani hapo baadae Inshaallah aje kuwa Rais wa TFF (Ila baada ya kuipa Yanga[emoji172][emoji169][emoji123] Makombe 10+ ya ligi,na walau makombe ma 3+ ya CAF) Uongozi Bora,Mabadiliko ya Kimuundo na Kiutendaji,Uwazi,Ushirikishwaji,Usasa (mbinu za kuongoza...
  12. Sheikh23

    Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Kafiri sio tusi,kafiri ni mtu yeyote anayepinga haqqi (haki),ukweli na maamrisho ya Allah (S.W)
  13. Sheikh23

    Ni kweli Robertihno kocha?

    Pole sana,muishukuru yanga imewaonesha panapovuja mapema,jipangeni kuelekea CAF CL
  14. Sheikh23

    Masada, nafungiwa watsapp kila baada ya 48 hours

    Hapana, labda status za kujenga imani, kuwasihi waja wajikurubishe kwa Allah
  15. Sheikh23

    Masada, nafungiwa watsapp kila baada ya 48 hours

    Hapana, labda status za kujenga imani, kuwasihi waja wajikurubishe kwa Allah
  16. Sheikh23

    Masada, nafungiwa watsapp kila baada ya 48 hours

    Hapana ndugu hizo ishu sifanyi, sijawahi kukutana na changamoto hii ya kufungiwa huduma ya watsapp,bila watsapp kwangu life haliendi
Back
Top Bottom