Search results

  1. Uliza_Bei

    Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    Siyo kichaa mmoja.....wasioelewa ni wengi na siyo mmoja acheni mapovu. Fanyeni kazi ambayo watu wataielewa siyo kulazimisha waelewe
  2. Uliza_Bei

    Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

    Stupid Leaders now showing out their true colors. Workers have got no sound mind representatives. I wonder how they allow their meagre salary to be deducted for these useless suckers in the name of Union Leaders.
  3. Uliza_Bei

    Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    https://www.globalpetrolprices.com/USA/gasoline_prices/
  4. Uliza_Bei

    Rais Samia aridhia kuuza nyumba za Magomeni Kota kwa utaratibu ya mpangaji mnunuzi, watarejesha gharama za ujenzi bila ardhi

    Wapatieni pia Watumishi wa Serikali nao wafaidi kama wale wa enzi ya Mkapa na Magufuli wa Ujenzi (watawashukuru wanapoendelea kutumika)
  5. Uliza_Bei

    Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Mtu asiyesimamia msimamo wake ni kibaraka wa fikra za wengine na huyo Polepole ndivyo amajipambanua na mwenzake Bashiru baada ya Kutupa agenda iliyowabeba ya Katiba Mpya Tanzania (Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba). Hawa ni watu wa kupuuzwa
  6. Uliza_Bei

    Is there any correlation between colonels and coups in west African nations?

    Hicho ni cheo cha kati .....cheo cha juu wameridhika maana wanapewa kila wanachotaka.....na cheo cha chini hawana uwezo wa kupindua (hawana connection bado)
  7. Uliza_Bei

    Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Imani Yako nguvu Yako, ukitaka kujua Mungu yupo amini halafu omba lolote likitokea umethibitisha Imani Yako. Biblia inakusaidia tu kujua sheria za Mungu na taratibu
  8. Uliza_Bei

    Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Sina uhakika kama umeongea fact au unadhania......pesa ya MO Dewji uiingize kuwa hifadhi ya taifa? Tena useme unaweza kuinunulia ugali wa nchi kwa miezi 7? Can't be serious
  9. Uliza_Bei

    Asilimia kubwa ya wanandoa hawana furaha. 80% kati yao either wanajutia or they wish for divorce

    Jiulize kwanini hawaachani?...ndoa tamu lakini pia haikosi vikwazo
  10. Uliza_Bei

    Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Na wanafanya Royal tour, sasa wewe unapinga nini akiitwa tour guide?
  11. Uliza_Bei

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wapo hawa? Au Wizara ilianzisha hapa Uzi wa maswali ikautelekeza?...Swali: Wale tuliochanja kabla vyeti vya kielectroniki havijaanza tunapataje vyeti vyetu?
  12. Uliza_Bei

    Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Bujibuji Mama Mary Chipungahelo nadhani ndiyo aliyefariki wiki hii na leo wanamuaga hapo St Albany Cathedral Karibu na Holiday Inn. Atazikwa leo jijini
  13. Uliza_Bei

    Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    AAaaaaa kweli hiyo?: Mbona search inaonyesha Founder ni Paul Allen na Billy Gates chini ya CEO: Satya Nadella
  14. Uliza_Bei

    Kwa dalili zinazoendelea, huyu nahodha alishushwa chomboni?

    Salute!, Kuna dalili Bw Ugimbi Alishushwa huenda hakushuka mwenyewe
  15. Uliza_Bei

    Utaratibu wa kuokoteza watumishi nje ya utumishi usitishwe ili kurejesha hadhi ya utumishi wa umma

    Utawala ndiyo unapenda kuweka watu wao bila kujali unyeti wa kazi wanazowapatia. Unawezaje kumchukua ndugu yako au mtia Mia wa Chama tu na ukampa cheo cha DED au RAS bila kujali hata kama umemtoa mtaani hajui hata ABCs za Utumishi wa Umma. In fact hata katika Chama wanatakiwa ku lobby wapate...
  16. Uliza_Bei

    Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

    Ni wajinga tu wanaoweza kushangilia Sukuma Gang. Hata wanaoitwa Sukuma Gang siyo wasukuma. Yeyote aliyekuwepo madarakani alipachikwa Sukuma jambo lisilo la kweli. Kama kweli mtaendekeza hilo na kweli Lake Zone iungane kufanya ukabila mtatokea wapi? Ni kweli kuna makabila fulani wamezoea kuwa...
  17. Uliza_Bei

    Mapengo yatakayoondoa CCM

    Wapinzani wa CCM wakijipanga vizuri huu ndiyo wakati wa kuchukua nchi kwa mafungu mafungu. ACT ZNZ wamemaliza na bado Kwa Mpango wakitangaza wakaulize na wengine watakaotemwa. Wajipange kuongea na jamii waondoe kidogo kidogo wala wasianze papara mara wamemtukana huyu na yule. Kwasasa ikiwa...
Back
Top Bottom