Search results

  1. Douglas Msele

    Kila la kheri wahitimu SUA....!!!

    Namtafuta mwenye ujzi wa kutengenza vyakula vya mifugo tuude kampuni twende benk ya kiislamu iliyoanzishwa jana tuchuke mkopo usio na riba tujiajiri wenyewe hii tabia ya kuipigia serikali magoti kuomba ajira na ujuzi tele kichwani ni kujidhalilisha.
  2. Douglas Msele

    SUKARI 25KG Tshs 48,500/=

    Nauza sukari kilombero 25kgs kwa shilingi 48,500/= kwa wanunuzi wa Dar tuu. usafiri kwako oder isipungue mifuko 100. piga simu 0683-501-203 wahi haraka kuna stock kidogo.
  3. Douglas Msele

    Forbes releases African rich list...

    Sidhani kama bakhresa anawazidi wale wanaotajwa sakata la ufisadi.
  4. Douglas Msele

    Nimekuta mbao za matangazo udsm

    Huyu mwanafunzi lazima atakuwa anatoka kwenye familia za mafisadi ambaye kwake elimu kwa ajili ya kujipatia maendeleo yake yeye mwenyewe na taifa lake siyo priority tena. Yeye akili yake yote ipo kwenye kuponda mali ambazo wazazi wake wamejilimbikizia KWA KUHONGA MADEMU. Laana ya mwenyezi mungu...
  5. Douglas Msele

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    [/B]Moyo hapo nilipo bold naungana na wewe uko sahihi kabisa sasa wewe patia sisi way forward maana maji yametufika shingoni
  6. Douglas Msele

    Natafuta kazi za ndani

    Sawa ongeza taarifa zifuatazo: shule gani na ulisoma masomo gani. kuuza duka la aina gani , wapi na kwa kipindi gani. stationary wapi na kwa kipindi gani.sula la speed siyo issue kwangu. Uwe tayari kuingia mkataba mrefu. Pia kama una wadhamini wanaoaminika nifahamishe.
  7. Douglas Msele

    Natafuta kazi za ndani

    Please go direct to the point!!!. If some body questions your credibility and you want to clear your self just give your detailed CV. hapo ndipo mtu anaweza kuanzia uchunguzi wake na akishaondoa mashaka yake mara moja uta pata ajira. hili suala la oooo mungu ananijua halisaidii mimi nimekueleza...
  8. Douglas Msele

    Natafuta kazi za ndani

    Huyu dada uwezo wake wa kujieleza na kujenga hoja ni mkubwa sana. pia ana uwezo mkubwa sana wa kufanya risk analysis.Na mimi binafsi ningependa sana kufanya naye kazi maana siyo rahisi matapeli wa dar kuingia nyumba/biashara aliyokabidhiwa yeye lakini nimefuatilia huku jamvini amejiunga juzi...
  9. Douglas Msele

    BAVICHA Igunga: Hali iko vipi?

    Gazeti lenyewe ni TAZAMA la leo 2/8/2011. jaribu kulipata ulisome mimi nimelisoma leo kwa mara ya kwanza.
  10. Douglas Msele

    kibaki in LOLIONDO

    Acha uzushi hicho kikombe siyo cha babu wa loliondo labda wa mbeya
  11. Douglas Msele

    Mukama: I will fight corrupt CCM leaders

    Asante sana wa kuona hizo kasoro lakini Sitegemei kama utapata majibu!!!
  12. Douglas Msele

    Ripoti ya ukaguzi ya CAG - 2009-2010

    jamani taarifa kama hizi siyo ngeni, nakumbuka hata TAC- Tanzania audit corporation waliokuwa wamepewa jukumu la kukagua hesabu za mashirika ya umma waliandika sana taarifa kama hizi lakini hakuna kilichofanyika mpaka mengi yakafa na yale machache yaliyokuwa yanatengeza faida yakauzwa . Lakini...
  13. Douglas Msele

    ROSTAM'&CO Income statement!!!

    Je? Hesabu hizi zimekaguliwa? Na current share holders ni kina nani? Hilo ni muhimu tulifahamu.
Back
Top Bottom