Search results

  1. Said Mshana

    Naomba ushauri nihakiki chuo gani kati ya hivi?

    Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur wenu ni chuo gani na koz gan nzur niconfirm itakayonisaidia hapo baadae. Vyuo na kozi hizo ni; 1...
  2. Said Mshana

    Msaada: Nikiweka Memory (SD Card) kwenye simu inasema 'Damaged SD Card'

    Msaada please simu yangu nikiweka memory card 16GB inaandika Damaged SD card. Naombeni msaada wenu please tatizo liko wapi au nawezaje kutatua tatizo hili. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
  3. Said Mshana

    Taarifa kwa anayeuza blog

    hi wana jf kwa mwana jf yeyote ambaye anauza blog kwa bei ya sh 10,000 so zaid ya hapo iliyo fresh anibip kwa namba 0678895505 mimi nitamshukia hewani tufanye biashara fastaaa!!!!!!!!!!!!!!
  4. Said Mshana

    MSAADA KWA ANAYEWEZA KUTENGENEZA WEBSITE

    Hi jf member kwa yeyote anayejua kutengeneza website ile ya bure (blogspot.com) naomba anisaidie kutengeneza coz nimefanya kila njia kwa ajili ya kutengeneza ila nimeshindwa nitamtoa hata ya soda jamani anayeweza please nisaidie Nichek 0678895505
  5. Said Mshana

    MSAADA KWA ANAYEWEZA KUTENGENEZA WEBSITE

    Hi jf member kwa yeyote anayejua kutengeneza website ile ya bure (blogspot.com) naomba anisaidie kutengeneza coz nimefanya kila njia kwa ajili ya kutengeneza ila nimeshindwa nitamtoa hata ya soda jamani anayeweza please nisaidie Nichek 0678895505
  6. Said Mshana

    Msaada wa vyuo vya utangazaji Arusha na Moshi na vigezo vya kujiunga na vyuo hivyo

    Jamani samahanini nyote kwa usumbufu kwa heshima na taadhima ningeomba kwa yeyote yule ambaye anayejua vyuo vya kusomea utangazaji wa radio huku arusha na moshi ningeomba anifahamishe ila hata kama huvijui uyuo vilivyoko arusha na moshi ila kama unajua sifa/vigezo vya kujiunga na chuo chochote...
  7. Said Mshana

    Msaada kwa anayejua chuo chochote cha utangazaji Moshi

    Naombeni majibu jamani, kwa yeyote anayejua mahali popote Moshi chuo cha uandishi wa habari na utangazaji naomba anijulishe please.
Back
Top Bottom