...Tunajitahidi kusahau machungu ya kuondokewa na Mpendwa Wetu MIAKA MITATU iliyopita, haya Maelezo ya Nini Leo ??
Tumuache apumzike Kwa Amani !!! [emoji26][emoji26][emoji26]
...Kiki, Wakati Mmoja anamminya mwenzake Mkono asiropoke kwenye TV ? Ingekuwa ni jambo la kupanga, angemminyia Nini mwenzake wakati wamepanga Kiki ?
WOTE wachukuliwe Hatua !
...Kweli. Ukute hiyo call haikuwa Moja TU ya kukua luku, Bali Zilikuwa Kadhaa' ziliwafanya Wajeda wa CIA wajue Jamaa anafahamiana nao zaidi, Sio kwenye kununua Luku TU !!!
...UKIMWI umeishakuwa Maradhi ya Kawaida TU, mradi unafuata yanayotakiwa. Kuna ndugu yangu ana Mwaka wa 17 Sasa Toka aambiwe ana UKIMWI !
Hapo kati kati ndugu zetu kama Tisa hivi wameishafarikia Kwa malaria, Kwa kuharisha, Kwa Kisukari na Kwa homa TU!
Ajipe Moyo. UKIMWI umeishakuwa Ugonjwa wa...
...Unamfahamu Mzee mmoja kulle Arusha alikuja kujullikana kama ' Mzee wa Kikombe' ?
Mpaka Kampuni Moja ya Mitandao ilimjengea Mnara wa Mawasiliano, na uzee wake !! [emoji846][emoji846][emoji846]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.