Search results

  1. Bornvilla

    Vichwa vya Habari Magazetini Leo Alhamisi 3/8/2017

    Vichwa vya habari vya Magazeti ya Tanzania ya Leo Alhamisi tarehe 3/8/2017
  2. Bornvilla

    Wadau Niungeni mkono kwa hili

    karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk suala hili. Bonyeza link hii ikupeleke ktk channel yangu Kipingu TV
  3. Bornvilla

    Madawa ya kulevya na dini(Harakati)

    Nimeshangazwa sana na sikuamini masikio yangu baada ya muuzaji mzoefu wa madawa ya kulevya kukiri viongozi wa dini wanahusika na uchafu huu. Kijana ajulikanaye kwa jina la Zungu para akihojiwa na mwanaharakati Kalapina kupitia kipindi cha harakati clouds TV leo saa moja na dk20 jioni amesema...
  4. Bornvilla

    Airtel nao watoa MB 10 kwa siku

    Airtel wamebadili vifurushi vya internet kutoka 1gb hadi Mb70 na zile zazamani za yatosha nazo ni 70 tu. Kwasiku ni mb10 tofauti ya mb2 za tigo na voda. Hii inazidi kufanya internet kuwa ghali zaidi Tanzania. Nadhani Lengo ni kupunguza wimbi la vijana kushinda internet kupost vitu visivyo na...
  5. Bornvilla

    Nitazionaje Screen sms kwenye tecno P5?

    Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened sms kwenye Simu yangu ya tecno P5.
  6. Bornvilla

    Nitapataje Screen sms kwenye tecno P5?

    Nilinunua umeme wa luku kwa nmb mobile token ikaja lakini ile ya screen tu. Kawaida huwa inakuja sms ya kawaida. Chakushangaza sms ya kawaida haikuja. Sasa naomba wadau mnisaidie Kuona screened sms kwenye Simu yangu ya tecno P5.
  7. Bornvilla

    Basi la Isamilo Express lapata ajali Kwimba

    Habari nilizozipata punde nikuwa basi la abiria toka Moshi kwenda Mwanza jioni hii limepata ajali baada ya tairi la mbele kupasuka. Habari zaidi zitafuata. source:RFA.
  8. Bornvilla

    Katika Ulimwengu huu - Haki za binadamu ni za wakristo pekee?

    Tumeshuhudia kadhia nyingi sana nchini Tanzania na ulimwenguni kote na sasa nimegundua kitu. Karibuni tulishuhudia shekhe maarufu Tanzania akiamuliwa kulala chini akiwa na joho lake pamoja na kujitambusha kuwa yeye ni shekhe Nurdin Kishki pia akimtambulisha muft wau Oman. Pamoja na hayo...
  9. Bornvilla

    Msaada:Background za Adobe photo zimelock.

    Background kwenye adobe photo zimejifunga na nimeshindwa kufungua kabisa. Nimejaribu kugoogle lakini njia ninazopata hazisaidii kabisa Ku unlock background. Nimejaribu Ku double click na kuweka layer lakini wapi! Na hii ndio njia niliyoikuta kwenye mitandao.Natumia window ya ultimate. Natumaini...
  10. Bornvilla

    NMB mobile na M-Pesa ni Salama?

    Kuna cases kama mbili hii nimezipata toka kwa jamaa zangu wa karibu. 1. Jamaa yangu aliibiwa kwa M-pesa shilingi milioni kama na nusu hivi! _ pesa zilihamishiwa account nyingine na kutolewa tena kwa awamu awamu. _ Mzee alikuwa na miradi yake midogomidogo hivyo alikuwa hategemei sana...
  11. Bornvilla

    Naombeni msaada waharaka

    Nimenunua Epson L100 lakini mashindwa kujua namna ya kuprint passport size. Naomba mwenye ujuzi anisaidie.
  12. Bornvilla

    Msaada jamani.

    Nimenunua nokia 808 lakini haiplay online videos,pili kila ninapo download operamini inagoma kuwa suported. Naomba msaada wenu jamani.
  13. Bornvilla

    MSAADA:nina aleji na simu za tachi screen.

    Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye...
  14. Bornvilla

    Nipeni jibu.

    Unauza duka. Una mawe mawili ya kupimia kwenye mizani. Jiwe la kwanza lina kilo 10 na lapili kilo 7. Sasa anakuja mtoto anataka sukari kilo moja je,utampimiaje?
  15. Bornvilla

    LHRC na Bisimba Mko wapi?

    Nilitarajia kusikia sauti ya Bisimba na LHRC wakisema kitu baada ya tukio la kupigwa risasi ya moto shekhe Ponda. Kimya chao kinanipa tafsiri tofauti na malengo yao wanayodai kuyasimamia. Kinachosoma kwenye ubongo wangu wao wanaona ni halali kwa Shekhe Ponda Kupigwa risasi lakini ingekuwa ni...
  16. Bornvilla

    Nisaidieni kuirekebisha laptop yangu jamani.

    Nikiweka modem ukikonekti tu inakata pia kanatokea kaalama usb, ukikaclick kanaleta baloon kanakwambia reset. Unafanya hivyo kisha zoezi linjirudia ukikonekti inakata tena. Nimejaribu nimeona kwenye ports zile serial universal bus moja wapo inakuwa na alama ya kushangaa ya njano . Nimejaribu ku...
  17. Bornvilla

    Why 26? Read and See!

    1. Gujarat, India, earthquake 26 Jan 2001 2. The Rhodes earthquake 26 June 1926 3. Taiwan earthquake 26 April 2010 4. Japan earthquake 26 Feb 2010 5. N E Japan earthquake 26 May 2003 6. N E Japan earthquake 26 July 2003 7. North America earthquake 26 Jan 1700 8. Yugoslav earthquake...
  18. Bornvilla

    watu wanakufa lakini majeshi hayatumwi.

    Watu wanakufa AFRIKA YA KATI,CONGO,SIRIA YAPATA MWAKA WA 2 SASA LAKIN BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA HALIJATOA JESHI WALA BARAKA KWA NCHI INAYOTAKA KUINGILIA KIJESHI sababu......... ila MALI ilipotangaza kuwa upande wa kaskazini utatumia sheria za KIISLAM baraka na MAJESHI...
  19. Bornvilla

    chunguza hii na utaona ilivyo.

    Mnapokuwa single kabla ya kuoa ukiwa marafiki au rafiki basi mnaelewana sana lakini once mnapooa urafiki hupungua au mnaweza kugombana. Tatizo hapa ni wanawake kuwa na fitna ndogondogo juu ya rafiki yako au baina ya mke wako na mke wa rafiki yako. Maneno huanza kidogokidogo na mwisho urafiki...
  20. Bornvilla

    Majina ya pesa!

    PESA INA MAJINA MENGI SANA. kwenye ibada inaitwa SADAKA, kwenye msiba inaitwa RAMBIRAMBI, shuleni inaitwa ada/karo, kwenye vyombo vya usafiri inaitwa NAULI, ukinunua haki inaitwa RUSHWA, ukimdhaminia mtu mahakamani inaitwa DHAMANA, mengine nimesahau,,muwe na jioni njema wapendwa.
Back
Top Bottom