Jambo lingine tena la muhimu kuhusu hawa bata bukini ni kuwa wanaishi umri mrefu sana (zaidi ya miaka 20). Nimeamua kupunguza bei atakayetaka wote 6 bei ya mwisho ni 600,000/- na kwa mmoja ni 120,000/-
karibuni sana
Bata kweli mkuu! unaruhusiwa pia tutembelea uwaone uulize na majirani. Nafuga kama njia nyingine ya kupata kipato na chakula kwa familia ila pia ni muajiriwa sekta binafsi.
Habari msomaji!
Kama kichwa cha habari kinayoeleza ninauza bata bukini wadogo wenye umri wa miezi 6. Idadi yao ni 6 na kati yao madume mawili na majike manne (4).
Napatikana mkoa wa Dar Es Salaam eneo ni makongo, kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa private message (PM).
Bei ni 150,000/- kila...
Huyu kitomari ndiyo yule wa bata mzinga wa arusha? Kama inawezekana weka namba yake maana yule wa arusha aliyekuwa anatapeli bata mzinga aliniumiza na mimi
Asante
Habari ndugu msomaji! Natafuta shamba la ekari moja hadi mbili maeneo ya kiluvya hadi kibaha.
Ambaye atakuwa nalo au anajua mwenye nalo tafadhali tuwasiliane kwa PM au aweke details zake hapa.
Asante na Mungu akubariki!
Habari msomaji!
Natafuta shamba kwa ajili ya kufugia maeneo ya kiluvya lenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea.
Tafadhali mwenye taarifa au shamba tuwasiliane hapa, pia unaweza kunitumia PM
Asante
Habari mwana jamvi?
Natafuta sehemu wanaotengeneza mizinga ya nyuki kwa Dar es Salaam.
Nahitaji kwa kuanzia kama mizinga 10
Kama unafahamu tafadhali ni PM
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.