Search results

  1. face

    Hodi jamvini JF

    Ahsanteni wote mlionikaribisha nashukuru kwa ukarim wenu.
  2. face

    Hodi jamvini JF

    Asante sana Michelle nimeshasoma JF Rules. Nakushukuru sana kwa kunikaribisha hasa ukiwa wa kwanza na mwanamke mwenzangu
  3. face

    Hodi jamvini JF

    Wapendwa; Hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, nimefikia uamuzi huu kutokana na umuhimu wa michango ambayo nimekuwa nikiipata na kuvutiwa na baadhi ya mada. Naomba niwasalimie wote JamiiForums na kujitambulisha kwenu rasmi! Asante.
  4. face

    How to use JamiiForums effectively

    Nashukuru kwa kunipa maelekezo mie ndiyo mara yangu ya kwanza kujiunga jamiiforums
Back
Top Bottom