Tatizo tayari wanamajibu vichwani mwao na wanataka yawe hivyo, ikiwa kinyume na matarajio yao utawasikia wakilalama. Maandiko yanasema "Kamwe hawatawaacha mpaka mfanane nao" Naamini Mungu atadhihirisha ukweli juu ya hili, hakuna mtu anayefurahia watu wakifa ama kuumizwa lakini pia inauma sana...
Hii ni sawa na kusema kuwa wachezaji wameshindwa kufunga magoli sababu kuwa goli ni dogo hivyo unawatanulia goli ili wafunge vizuri. Haya ngoja tusubiri matokeo yauchakachuaji sijui wale waliochora Messi inabidi nao wapewe maksi?
Hii tu inatosha kumuondoa kwenye hiyo nafasi manake haimudu. Hivi angeulizwa maswali angeweza kujibu? Jamaa kilaza kweli manake Historia ya Tanzania haihitaji usome mahali.
Huyu spika kwakweli ni janga la Tanzania, anajidai alitaka kusema jamaa yako akasema jambazi wako kwani hata Mnyika na Mbowe wana ujamaa gani? Huyu mama hajiamini kabisa nae anastahili kujiengua tu.
Sasa tunaelekea kubaya, Mzee Mtei unaonyesha chuki za wazi kwa waislam japo kwa majina! kama ndio mawazo uliyonayo hayo basi utatupotosha sie tulio nyuma yako! Kwa hili Mzee umechemka mno! Kumbe sifa yamjumbe wa tume ni pamoja na dini yake? Mmh mnatupeleka wapi? HAPANA MZEE FIKIRIA MARA2 kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.