Search results

  1. miss confidence

    Mafisadi wa DARUSO waumbuka

    Heshima zenu wana JF. Katika harakati za kuendelea kukomesha tabia ya ubadhilifu wa Mali za umma mnamo tarehe 13 mwezi wa sita katika Bunge la serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dar es salaam (DARUSO- Mlimani campus) mbunge wa viti maalumu kutoka ndaki ya insia / College of Humanities (COHU)...
  2. miss confidence

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa DARUSO

    Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) na Serikali ya wanafunzi wa chuoni DARUSO ambapo Leo serikali hii iliyokua madarakani kwa takribani mwaka mmoja sasa chini ya Rais wake Leon na Makamu wake mkuu Shamira Mshangama inaenda kumaliza...
  3. miss confidence

    Ujenzi wa Maghorofa: Kwanini Neti zinazotumika zinakuwa ni za kijani?

    Wakuu naomba Leo kuuliza hivi ni kwanini wakati ujenzi wa maghorofa ukiwa unaendelea neti zinazotumika ni neti za kijani katika kufunikia majengo wakati ujenzi ukiwa unaendelea???? Naomba kuelishwa je nikwanini hakuna rangi tofauti na rangi tajwa hapo juu ktk ujenzi wa maghorofa??? Je kuna...
  4. miss confidence

    Wataalamu wa isimu ya lugha tujadiliane hili swali

    Jadili utata unaojitokeza katika unukuzi wa matamshi.
  5. miss confidence

    Kwa mtu aliyekosa mkopo, ni bora Kukaa hostel au kupanga?

    Naomba kuuliza kwenu ndugu zangu, kwa maisha yalivyo ya Dar-es-salaam kama mtu amekosa mkopo hata asilimia sifuri hajapewa lakini amepata nafasi ya wazazi na ndugu kujichanga ili aweze kuendelea na masomo yake. Licha ya kuwa nyumbani kwao haipo vizuri kiuchumi..mtu huyu ni bora apange au akae...
  6. miss confidence

    Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

    Naamini humu kuna wenzetu wametutangulia katika viwango vya elimu ...hivyo basi Naomba mtusaidie ni vitu gani huwafanya au kuwachochea vijana wengi wanapo ingia chuoni kubadilika na kujiingiza katika matendo machafu mfano ulevi, wizi na vingine vingi.... Na pia naomba mtusaidie ili mtu aweze...
  7. miss confidence

    Ni ile hali ya kuisoma namba

    Aiseeee kwa hali hii jamani hii nchi ....sio kwa ugumu huu wa maisha......jamani hii ni simu ya mwalimu tena wa sayansi
  8. miss confidence

    KITHEMBE KINANIFANYA NICHEKWE.

    Jamani Mimi nina tatizo katika matamshi yangu.Nimeathiriwa na kithembe...hivyo nashindwa kutamka " s" na "z" badala yake natamka "th", na " dha" ...wakuu je hali hii ikifika wakati Fulani nitaweza kutamka maneno haya kwa ufasaha??? Au inakuaje kwa upande wa hili tatizo..... Nikiongea mbele za...
  9. miss confidence

    Nini chanzo cha tatizo la over bleeding??

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza nilikua naomba kuelezewa nini chanzo au visabibishi vya tatizo hili la kupata over bleeding kwa wasichana au wanawake? Kuuliza na je hili tatizo matibabu yake yapoje? Kwa wale wataalamu wa afya ninaomba kuelimishwa kuhusu hili tatizo kwasababu nakumbuka...
  10. miss confidence

    Ninapoenda kusoma bachelor of arts with education nijikite kwenye masomo gani???

    Rejea kichwa cha habari hapo juu ...nimebahatika kuwa miongoni mwa walio pata vyuo awamu ya kwanza..naamini nimechaguliwa BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION kwasababu ndiyo niliyo apply... Nilikua ninaomba ushauri kwenu wakubwa wangu mliotangulia kielimu...katika hiyo faculty niliyochagua...
  11. miss confidence

    Nahitaji kununua Laptop kutoka kwenu wadau

    Nina shida na laptop... Yeyote aliyenayo anataka kuuza..tuwasiliane...nipo mwanza
  12. miss confidence

    Naombeni mnisaidie nielewe kuhusu wi_fi network

    Habari za Leo greater thinkers.... Mimi Nina shida kidogo naomba kueleweshwa na wajuzi wa haya mambo ..kuna mitaa huwa nikikatiza simu yangu inaandika available wi,_fi network but huwa siielewi hii wi_fi network. Naombeni mnielezee kuhusu wi_fi network niielewe.
  13. miss confidence

    Ni smartphone Gani nzuri nitaipata kwa hii hela yangu

    Habari wanajamvi Mimi nipo mwanza ninashida Na smart phone mpyaaa nina laki Na nusu.... msaada please ni cmu Gani nzuri nitaipata kwa hii pesa yangu???
  14. miss confidence

    Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi UDSM?

    Mambo wanajamvi.. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu...nilisoma HKL..nimepata division one ya point nane.. tafadhari naomba kujua je nitaweza kupata nafasi UDSM Na je nitaweza kupata mkopo asilimia ngp...malengo yangu ni kusomea bachelor of arts with education.... msaada please...
  15. miss confidence

    Application za mikopo elimu ya juu

    Jaman naomba mnijulishe kwa sisi tulomaliza form six mwaka huu tunafanyeje izo application coz wamesema tuambatishe Na certificate ya form Six sasa sisi tulomaliza mwaka huu form six tunaambatanisha nini coz hata matokeo yetu bado Na deadline ni mwez huu mwishoni.
Back
Top Bottom