Search results

  1. K

    Barabara ya Kigamboni kuanzia feri mpaka kongowe haina vibao vya speed limit

    Barabara ya Kigamboni kuanzia feri mpaka kongowe haina vibao ya speed limit hivyo polisi wanaonekana kama wanaonea madereva .. haiwezekani kuanzia feri mpaka kongowe utembe 50km/hr huu ni upotezaji wa muda na kutofikiria madhara ya kiuchumi. Manager TANROADS kama kama hujanielewa tembelea...
  2. K

    HESLB yakusanya Tsh. Bilioni 94.01 kutoka kwa wadaiwa kwa kipindi cha Julai-Desemba 2018. Yatangaza kuja na mfumo mpya wa ulipaji madeni

    Kama ni hivyo mbona wanafunzi wengine ni mwezi wa 3 sasa hawajapata mikopo mliyowaahidi kuwapa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Usimwamini mwanamke hata kama unamtania

    Pole lete ilivyokuwa
  4. K

    Kama hamtengenezi barabara ya Kibada, Darajani mnakosa Mapato

    Wahusika hamfikirii kwamba mnakosa mapato kwa sababu barabara ya Kibada kuja darajani Mbovu! Au mnafikiria nini?
  5. K

    Hongera Traffic police kilwa road

    Jinsi mnavyoongoza magari asubuhi kuanzia Mbagala mpaka Posta na jioni kutokea posta/Kariakoo kwa hakika mnastahili pongezi!Keep it up
  6. K

    INAUZWA Nauza asali mbichi

    Nataka ya nyuki wadogo
  7. K

    Nataka kuwa nahodha wa meli, naomba ushauri wenu

    Ukimaliza diploma unatakiwa miezi 6 full time melini ufanye oral exams ndio upate licence kama junior officer.Kuwa senior mpk Capt utatakiwa urudi melini miezi 30 ta darasani miezi 12. Kazi zipo sana kama hufikirii kufanya ndani ya EAC. Uarabuni na kwingineko duniani soko bado lipo sana kama...
  8. K

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    Halafu zipu fupi mzee mzima ukivaa mzigo unaonekana lkn nashangaa hao wanaovaa au wana mb... kiduchu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Rais Magufuli Akiwahutubia Wananchi Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma

    Hongera kafulila Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Rais Magufuli awapa siku 14 wamiliki wa vituo vya mafuta kutumia EFD la si hivyo wafutiwe leseni

    System kama zimeacha vacuum lazima ijazwe! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    wafanyakazi msajiri wa hazina na usumbufu vibali kusafiri nje ya nchi

    Wafanyakazi hawa wamekuwa miungu watu,maana hata safari zilizolipiwa kila kitu na wafadhili bado wanasumbua sana. kibali kinatoka mpaka saa chache kabla ya safari wakati wanadai ufanye application kabla ya wiki mbili, Waliowahi kuomba vibali hivi nini experience yako kwenye zoezi hili?
  12. K

    Wanaume mliohamishiwa Dodoma mmetuachia wake zenu makazini wanatusumbua sana

    Mwanamke malaya hata kama umeamka nae asubuhi,haimzuii kuendelea na ufsika sidhani km ka GF una 100% hakatafunwi eti kwasababu upo karibu.
  13. K

    Vituo vya kuuza mafuta vya Lake Oil kutoa risiti za EFD haiwahusu?

    Mara kwa mara nimekuwa nikitumia kituo cha lake oil karibu na st. mathew sekondari,na ni mwezi mzima sasa tangu april wanasema mashine ya efd mbovu na taarifa ziko TRA,ukiwabana wanakwambia paki pembeni uandikiwe risiti,je TRA hili mnalichukuliaje?nashauri mbandike namba zenu kwenye vituo vyote...
  14. K

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Ataajiri waliosoma st. naniliu kama unaona kutojua kiingereza ndio sababu nchi iko hivi!
  15. K

    Wengi hawajui kwanini tunasema 'Life begins at 40'

    Kwamba watoto wakute akaunti imenona!upuuzi mtupu na wao wafanye nn?bora kuwajengea uwezo wajitafutie nao. Kuna ukweli kwenye uzi lkn pia kuna harufu ya majivuno naona km ni kati ya wale waliozikuta kwenye ac
  16. K

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Nakubaliana kabisa,mambo yote yatarekebishwa kwa katiba mpya,
  17. K

    Keissy alianzisha tena bungeni

    Hoja hujibiwa kwa hoja sio ugomvi,wazanzibari walipaswa kumjibu Bw. Kessy!Yaani watanganyika wote waliokuwepo walishindwa kuona hoja yake au ni kujitoa akili tu.
Back
Top Bottom