Search results

  1. me and I

    Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

    Yaan wanaume bhana ,yaan we umeenda kumcheat hafu katoka tu na marafik zake unampiga??
  2. me and I

    Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

    Mimi mume wangu ananiitaga baby mbele ya yeyote yule ,awe ndugu yake au yangu
  3. me and I

    Huyu kanichosha

    Sasa uliamua nn mkuu maana naona uzi wa kitambo huu..ila penye miti hapana wajenzi
  4. me and I

    New couple in town

    Jaman warumi amefariki lini??
  5. me and I

    Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Sasa hao wenzio Yesu hawamtaki ndo maana wanaona ni kiwaida
  6. me and I

    Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Sasa nikwambie kitu Kama umeoa na mna watoto basi mkeo anakuvumilia kwasababu ya watoto nothing more
  7. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    [emoji23][emoji23]
  8. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    Hujapenda mkuu hiyo ndo point kuu
  9. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    Wewe huyo humpendi na sio chaguo lako lkn Kuna wenzio wanaenjoy na wake zao Kama wameoa Jana kumbe miaka 20+ iliopita
  10. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    Picha za mitandaoni tu ndugu yangu hata simjui
  11. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    Hapana mkuu
  12. me and I

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    True unakuta mtu hamtunzi mke wake hamjali halaf at the same time amemkataza kufanya Kaz kisa alee watoto na hela ya matumiz haitoshi hapo bado hajampa stress za michepuko,unakuta mmama watu yupoyupo tu Hana Nuru usoni.mwanamke akitunzwa huwez kumchoka
  13. me and I

    Nimeoa ila najiona sina tofauti na Senior Bachela

    Ukweli mchungu ila acha tuseme, mkeo hakupendi na hakufeel kwenye moyo wake, wanawake tukipenda huwa hatuwez vumilia hat siku ipite bila kumjulia Hali umpendaye..
  14. me and I

    Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

    Kwa mujibu wa mleta mada alisema dogo alisubiri amalize nyumba yake ndo aoe
  15. me and I

    Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

    Hauna familia yoyote watu wenye familia hata comment zao zinaonyesha maturity na kama wewe ni mume na ni baba basi mkeo ana hasara kubwa Sana maana wewe ni mvulana unabwabwaja sana.
  16. me and I

    Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

    Naona una stress Sasa unazimilizia jf pole sana na hata hivo uzi wangu sijaomba ushauri juu ya ndoa yangu naona umedandia tren Kwa mbele ..
Back
Top Bottom