Search results

  1. Alex Tanzania

    Mashine ya kutengeneza tambi za kienyeji

    Habari, Naomba mwenye mashine ya kutengeneza tambi za kienyeji anicheki tufanye biashara.
  2. Alex Tanzania

    Chronic Osteomylitis: Tiba ya kudumu?

    Habari wana JF, Nasumbuliwa na hilo tatizo kwenye mfupa wa paja (femur) kwa miaka 15 sasa na mara zote nikienda hospital baada ya vipimo napewa antibiotics tu ambazo kwa kiasi fulani zimekuwa zikinisaidia lakini bila tatizo kuisha miaka ya 2003 mpk 2012 nimekuwa nikipewa Cloxacilin hii ni...
  3. Alex Tanzania

    Wanawake kama hawa hatari, wanaume kuweni makini

    Habari wana JF, Naomba niwashirikishe hili kwa uchache.Itasaidia kiasi fulani. Yawezekana nimepost hili kutokana na woga wangu lakini nimeshuduhudia visa vitatu vinavyofanana katika mahali ninapotoka (mkoa) ingawa vilitokea katika maeneo tofauti (wilaya). Ni hivi, kuna hii tabia ya wanaume...
Back
Top Bottom