Search results

  1. Swagger is alive

    Mvomero: Mifugo inakufa kutokana na Ukame

    Mkuu alishasema wabadilishe Debe moja la mahindi kwa Ng'ombe wanne.
  2. Swagger is alive

    Pakistan yapiga marufuku Valentine Day

    Trump akiwapiga marufuku wanaanza kulalamika
  3. Swagger is alive

    Makonda: Leo usiku mtausikia moto utakaowaka katika viunga vya Jiji la Dar.

    Mi Mpaka nakwenda mitamboni sijaona moto wowote
  4. Swagger is alive

    China yapinga ujio wa meli ya kisasa yenye teknolojia ya hali ya juu ya jeshi la Marekani

    I M Mkuu sisi bado tunanunua meli chakavu then tunakabidhi jeshi ili wananchi wasijadili!
  5. Swagger is alive

    Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    Lissu ni hazina kwa Taifa hasa kipindi hiki ambacho viongozi wanajiona wapo juu ya sheria. Ndio maana tunauhitaji uongozi wake hasa pale TLS
  6. Swagger is alive

    Yuko wapi Tiagi Masamaki?

    Anakula pension
  7. Swagger is alive

    Makonda: Taratibu za kumwita bungeni zifuatwe

    Na leo wamerudia kosa Lile Lile
  8. Swagger is alive

    Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

    Hata Mimi nimemuelewa Paskali. Mada za huyu jamaa ni za kuangalia kwa jicho la Tatu. Ukiingia kichwa kichwa hautamuelewa
  9. Swagger is alive

    Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

    Umasikini ni mbaya sana hasa Umasikini wa kipato na akili.
  10. Swagger is alive

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Wauza sembe Wote wanajulikana. Na wengi wao ni wafadhili Wenu huko Lumumba
  11. Swagger is alive

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Kuhusishwa na mihadarati ndio kuitwa kistaarabu?!. Mbowe hajakataa wito ila alichopinga ni kuitwa pasipo kufuata taratibu na sheria za nchi pale mtuhumiwa anapohitajika na jeshi la Polisi.
  12. Swagger is alive

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Kwani Chadema walipotaja Ile list of shame waliwaita Central kwa mahojiano?!
  13. Swagger is alive

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Mtoa mada ficha upumbavu wako! Mbowe ni mtu mzito nchi hii, Huwezi kumuita kwa majina yaliyoandikwa kwenye karatasi ya kufungia vitumbua. Kama wanamuhitaji kamanda Mbowe kwa mahojiano basi wafuate taratibu rasmi za kisheria
  14. Swagger is alive

    Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    Mkuu Unadhani Biashara hii ni ya watoto wa Maskini?! Mtoto wa mbwa anatoa wapi mtaji wa kupiga hizi dili labda awe punda wa kutumwa na hao watoto wa kishua
Back
Top Bottom