Darasa safi sana, wasiwasi wangu ni kuwa azimio la kutofanya kazi CAG linaweza kuwa sio la Bunge peke yake! Lina 'external hands'. Katika mazingira hayo tunafanyaje!!..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk katiba pendezwa spika na naibu wake wasitokane na wabunge wa kuteuliwa. Napendekeza watokane na Wabunge wa Majimbo au Wananchi waombe. Hili litaondowa dhana ya kulipa fadhila kama viongozi hawa watatokana na Wabunge teule. Changia tafadhali!!
Bunge kama mhimili katika nchi, mimi naona sio busara SPIKA na NAIBU SPIKA watokane na wabunge wa KUTEULIWA. Badala yake Napendekeza iwe kikatiba watokane na wabunge wa majimbo tu, sio vinginevyo. Au mgombea wa USPIKA AU NAIBU SPIKA akitokea kwa wananchi.
Aende akaendrlee na utapeli wa kisiasa hiko. Lipumba now is not after the democracy development or anything in the plitics. Is oportunistic man. ACT be careful as you receive him.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.