Search results

  1. Dwaso

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Ccm huko tumesikia mumeiba pesa kibao Juzi Juzi tu mumeumbuana vipi hizo pesa mumesha zilipa?
  2. Dwaso

    Operesheni UKUTA: Lema amjibu Waziri Mwigulu. Asema yupo tayari kufa akipigania haki...

    Sheria namba ngapi Hiyo? weka kifungu cha katiba siyo bla blaa
  3. Dwaso

    Nikitangaza kurudi CCM

    Siasa ni biashara kama biashara zingine ukiona haina maslahi siyo mbaya kuingia kwenye Dili lingine. Siasa Za Bongo ni za kimipango.
  4. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Mtatiro ndiyo aliyechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Muda.
  5. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Tafuta kwenye huu Uzi ukiona coment hiyo ya mzee touch hapo kwenye mchoro ambao unaonesha kama link ime feli utapelekwa moja kwa moja YouTube live na utaweza kucheki mkutano live bila chenga.!
  6. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Mkuu mbona mi nacheki now ilikuwa offline sasa hivi imerudi Live
  7. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Nilikuwa nacheki lakini nashangaa ghafla Chanel offline sijuwi tushazingirwa.
  8. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Hongera Julius Mtatiro kwa kupata uenyekiti wa Muda chama cha CUF
  9. Dwaso

    Yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa dharura wa CUF, Ubungo - Dar es Salaam

    Asante sana mkuu sasa mambo muruwa kabisa
  10. Dwaso

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Pia ni akili ya kipuuzi na ni ujinga Kushindwa kutoa mfano kwa kufananisha na kitu Fulani.
  11. Dwaso

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Fisadi anaeogopwa kupelekwa Mahakamani Lowasa ni fisadi Hewa.
  12. Dwaso

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Kula tano[emoji109] Yani anaongelea lowasa kukopa wakati serikali pia ina madeni yasiyowezekana kuyalipa kwa wakati na bado inataka kukopa tena hahahahhahh kweli nyani aoni kundule.
  13. Dwaso

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Umepatia√na kihere here Chako tu nyie ndiyo wale watumia vilainishi.
  14. Dwaso

    Msaada ushauri Vodacom bunldes (mb) V6?

    Voda nisha toka kitambo natumiaga tu Halotel.
  15. Dwaso

    Pendekezo juu ya maandamano ya 1st September

    Post yako inarudia yashajadiliwa sana hayo ila Ukuta bado upo pale pale
  16. Dwaso

    Tetesi: Edward Lowasa ahaha kusaka bilioni 10 alizokopa kwa Rostam kugharamia Uchaguzi Mkuu wa 2015

    Mkuu usishangae nasikia ccm wa hisa zao Na huu mtandao kwa hiyo usitegemee post za ccm kufutwa.
Back
Top Bottom