Search results

  1. bibikuku

    Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    Hatimaye leo JF imeonekana kuwa ni CREDIBLE AND RELIABLE SOURCE. Congrats kwa JF!
  2. bibikuku

    Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

    Kesho MAWIO wataitwa MAELEZO kwenda kujieleza kwanini wasifungiwe kwa uchochezi kutokana na habari yao hii. Subirini muone
  3. bibikuku

    Huyu ndio "kijana" wa Dr Mwakyembe,aliyemsaidia 99% katika vita ya madawa ya kulevya

    Hapo kwenye RED Nakumbuka Masogange alikamatwa Afrika Kusini mzigo ukiwa umefika O.R Tambo tayari. Hakukamatwa JKNIA hapa Dar. Hivyo inamaanisha mzigo Dar ulipita salama hakuna aliyeona wala aliyewachoma. Kuna mtu aliusaidia ukapita na askari wa Sauzi ndio waliounasa. Kwa namna hiyo, Jingu...
  4. bibikuku

    Tahadhari ya Polisi na RC Morogoro kuhusu Hukumu Kesi ya Uchaguzi kesho

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro leo limetoa tahadhari kuwa halitasita kuchukua hatua kali kwa vikundi vya wanasiasa vitakavyokusanyika kesho kwenye mahakama ya Morogoro kusikiliza hukumu ya keshi ya uchaguzi kwenye majimbo ya Kilombero pamoja na Mrimba ambapo hukumu zote mbili zinatolewa Ijumaa...
  5. bibikuku

    Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Chabruma vipi baba yako Samwel Sitta ameshakwenda mahakamani kupinga kuenguliwa? {pole sana kwa maumivu hayo najua inakuuma sema basi tu huna la kufanya} By the way, toka upewe u-DC umepotea sana huku jamvini, afadhali walau leo U-spika umekutoa mafichoni. Mwisho kabisa: Najua hujafurahia...
  6. bibikuku

    Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    Nimesoma katika Gazeti la Mwananchi la Leo hii kuwa Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Zubeir Kabwe na Mwenyekiti wake Anna Mgwira wameshindwa kumaliza mikutano yao kadhaa Mkoani Geita baada ya kuzomewa nawananchi. Gazeti hilo limeandika katika moja ya kurasa zake za ndanikuwa Zitto katika...
  7. bibikuku

    Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Dakika 45 ITV

    Kipindi ni recorded sio live
  8. bibikuku

    Marekani yatoa kauli kwa Tanzania kufungiwa Gazeti la The East African

    Ninyi waandishi wa TANZANIA mlikatazwa kuandika?
  9. bibikuku

    Keki ya taifa mlimani tv:leo katika keki ya taifa changamoto za uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mwana Mpotevu Nakubaliana nawe kuwa CCM wajiandae kuwa chama cha upinzani very soon Lakini matokeo haya yasiwavimbishe kichwa Ukawa, bado wana safari ndefu ya kuhakikisha dosari zilizojitokeza katika baadhi ya maeneo ambao walisigana basi zirekebishwe. Kama wapinzani wasipofanya marekebisho...
  10. bibikuku

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Ukitaka kusikiliza mkutano wa UKAWAv LIVE bonyeza hapa /Radio One - 89.7 FM Dar es Salaam - Listen Online
  11. bibikuku

    Bunge la Katiba Kuahirishwa Wiki Mbili zijazo, Theluthi Mbili zakwamisha Ibara ya kwanza ya Katiba

    ningeshangaa sana kama wasingeliahirisha hili bunge la katiba wakati muda wa bunge la bajeti umekaribia. tena kamati za bunge la bajeti zinatakiwa kuwa zimeshaanza right now hizo wiki mbili zijazo bado watakuwa wamechelewa sana
  12. bibikuku

    Waziri aliyetemwa na JK achukua fomu kupambana na Sitta Uenyekiti Bunge la Katiba

    sasa hapa ndio penyewe, nataka nione wale wanawake waliofanya fujo bungeni last week wakiimba kuwa wanataka haki zao sasa wampigie kura mwanamke mwenzao Dk. Huvisa kama sio wanafiki na kulilia haki huku wakijua hawana uwezo. Yangu macho kwenye uchaguzi kesho
  13. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Kama ana akili timamu Zitto basi ajifikirie upya kuhusu hatma yake kisiasa na asidanganywe na wapambe wake
  14. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Tena aione mapema ili aache kujidanganya. Atafute jimbo kasulu wala asirudi Kibaha hawamtaki tena. Sijahadithiwa nimejionea mwenyewe
  15. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Sheria ipi unayoisema? Unaweza kuiweka wazi hapa na jinsi kifungu kinavyoeleza ili tujiridhishe wote bila chembe ya shaka?
  16. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Hajakamatwa wala kuulizwa lolote na mambo yameisha kwa amani sana tu. Sasa wapo katika mkutano wa ndani kwenye hoteli moja hapa mjini kibaha
  17. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Leo nimethibitisha mwenyewe hapa kibaha jinsi zitto asivyokubalika kwa watu wa kawaida kabisa katika eneo hili walau. Kila jina lake lilipokuwa likitajwa watu walikuwa wakizomea kuonyesha kumchoka kiumbe huyo
  18. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Hakuna dhambi kubwa kama woga
  19. bibikuku

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Mbowe ameeleza kuwa hakuna sheria per se inayotaka mikutano kufungwa saa 12 kamili bali sheria ya uchaguzi ambayo haiko applicable hapa. Wakuu wanasaini kadi za uanachama hapa no
Back
Top Bottom