Search results

  1. GedsellianTz

    Gari aina ya Toyota Honda Vesel

    Ndugu wanajamii mwenye ujuzi wa hii gari anipe dondoo zake...kuanzia upatikanaji wa spare...fuel na bei yake.
  2. GedsellianTz

    Salim Kikeke kurithi mikoba ya Dkt Ayoub Ryoba TBC?

    Habarini wanajamvi, bila ubishi wowote mtangazaji nguli wa BBC SALIM KIKEKE kutangaza kustaafu utangazaji katika shirika kubwa la BBC imani yangu ni mpango madhubuti kuwa anaandaliwa kurithi nafasi ya Dkt Ayoub Rioba wa shirika la utangazaji TBC, ni suala la muda tu tutasikia akiteuliwa na Rais...
  3. GedsellianTz

    Wakuu ni Benki gani International iliyo bora kuitumia kwa hapa Tanzania?

    Wakuu habari za jioni, Naomba kufahamishwa ni benki gani hizi za International ambayo ipo vizuri katika utoaji wa huduma zake iwe ndani ya nchi hata nje ya nchi?
  4. GedsellianTz

    Biashara ya uwakala wa vinywaji (soda)

    Mwenye A,B,C katika hii biashara naomba uelewa wenu, mtaji kiasi gani wa kuanzia na changamoto ya hii biashara!
  5. GedsellianTz

    Tutafuteni hela vijana

    Wanajamiiforums tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu. Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?" Hata wewe binti yangu tafuta pesa hata siku unapewa appointment...
  6. GedsellianTz

    Natafuta mwenye wazo la biashara tufanye kazi

    Habarini wanajamvi, Natafuta mtu mwenye wazo bora la biashara tuweze kufanya kazi, biashara i-base katika mambo yafuatayo: 1) Kutatua matatizo ya Jamii. 2) Kuwafikia Watanzania wote either kwa njia ya mtandao.
  7. GedsellianTz

    Natafuta Kiwanja Nyamahongoro, Mwanza

    Wadau habari zenu, natafuta kiwanja nyamahongoro mwanza kama unacho waweza nijulisha tufanye biashara!
  8. GedsellianTz

    Picha inatisha: Mtu mmoja auawa na kuchomwa moto Geita kwa tuhuma za ubakaji

    Mtu mmoja auawa mkoani Geita, katika kijiji cha Iwamgasa usiku wa leo. Chanzo cha kifo chake alienda katika nyumba akampiga mme wa mtu kwa kumchoma na moko halafu akamchukua mke wake kisha kutokomea porini akiwa kambeba mke wa mtu. Jamaa akapiga yowe wanakijiji wakaenda kusaidia wakakuta...
  9. GedsellianTz

    My girl is better than yours

    Habarini wana MMU, Leo nimeamua kushare kitu nanyi juu ya mahusiano yangu ambayo nipo proud sana kuwa nayo. Nipo kwenye mahusiano takribani miaka saba sasa binti niliyenae nimuelewa sana sana, anajua ni nini tafsiri ya maisha kwani kwa miaka hii yote japo sijamuoa lakini amesimama kama mke...
  10. GedsellianTz

    Yusufu manji ajiuzuru yanga.

  11. GedsellianTz

    Hivi ndivyo kazi za The bold zinavyozidi kuibiwa

    Heshima kwenu wanajamii, Nimekuwa mdau na mfatiliaji mzuri wa makala za huyu jamaa The Bold hakika anatumia nguvu nyingi sana katika kutafuta habari mbalimbali na kutuletea humu ndani ( kwa wale wafatiliaji wa makala zake mtakuwa mnanielewa vizuri), katika pitapita zangu sio mara ya kwanza...
  12. GedsellianTz

    Hatua za ukuaji wa mtoto katika miezi miwili ya mwanzo

    Baada ya kuzaliwa mpaka miezi 2, mtoto hupitia hatua mbalimbali za ukuaji na maendeleo. Mwili wake unakua, uzito huongezeka na kiasi cha unyonyaji wake huongezeka kadri siku zinavyoenda. Baada ya muda anaanza kutabasamu au kukutazama. Haya ni baadhi ya maendeleo ya ukuaji wa mtoto akiwa na miezi...
  13. GedsellianTz

    Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Kwa kauli hii ya waziri wa viwanda, Tanzania tuna safari ndefu sana.
  14. GedsellianTz

    Sasa nimeamini ni kwanini nchi tajiri kama Tanzania haina maendeleo

    Katika uchunguzi wangu niliofanya nimegundua tatizo kubwa la nchi yetu kuwa nyuma kiuchumi na maendeleo ni sababu tulikuwa tunaongozwa na watu walio na elimu feki na vyeti feki, siasa na undugu vilitawala, watu wasio kuwa na sifa stahiki waliweza kukamata nyazifa mbalimbali katika serikali yetu...
  15. GedsellianTz

    Wale wa dar poleni sana huyo ndiye mkuu wa mkoa wenu, angepangiwa mkoa wa mara sijui ingekuaje.

    Yanayoendelea dar hakika inasikitisha sana kwani kuna wasomi wengi, leo hii mtu anaongoza apendavyo tena anatumia hisia binafsi sio katiba tena, kijana huyu angepangiwa mkoa wa mara sidhani kama haya yote angeyafanya watu wangemkata na mapanga mchana kweupe.
  16. GedsellianTz

    Happy Valentine to all JamiiForums users

    Napenda kuwatakia siku njema, enjoy kwa kiwango....tusherekee vizuri tuwakumbuke na kuwasaidia yatima, walemavu, watu wasiojiweza na wengine wote wanaohitaji upendo wetu hasa siku ya leo.
  17. GedsellianTz

    Hivi Dr. Mwaka yupo wapi siku hizi?

    Nataka kujua nina mgonjwa jamani anahitaji msaada, jamaa amekuwa kimya sana
  18. GedsellianTz

    Jumamosi ni siku ya mazoezi Tanzania

    Kuna matangazo yanatolewa na wakuu wa wilaya na mikoa kuwa siku ya jumamosi ni siku ya mazoezi, kutakuwa na mchaka mchaka hii yote ni kujenga afya za watanzania. Kwa Dodoma utaanzia bungeni hadi kiwanja cha jamhuri pia baada ya hapo kutakuwa na kupima afya pia na tezi dume. Ushauri wangu kwa...
  19. GedsellianTz

    Ukipata ban kipindi hiki JF utakosa mengi. Je, utajisikiaje?

    Week hii jamiiforums imekuwa na wachangiaji wengi sana, kila mtu yupo makini kupata taarifa muhimu za hapa na pale na episode kadhaa zinazoendelea nchini, matusi hayatakiwi na lugha za kuwaudhi mods ukipigwa ban utakosa mengi, ban ikiisha inshu ya madawa nayo itakuwa ishaishaaa kuwa makini ili...
Back
Top Bottom