Search results

  1. P I M

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Prof Muhongo....kwa nn wahisani wamestisha misaada kama sio hela za escrow....lete majibu sio kubwabwaja
  2. P I M

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Kwa uwezo mdogo tu wa kufikiria mmoja kati ya watu hawa wawili yaan MP Mh. Pinda na Mh. Kafulila hasa kwenye suala hili la Escrow, Pinda kama warizi mkuu alishindwa kutambua kuwa hela za Tegeta Escrow Account ni za umma huku mbunge wa kawaida (David Kafulila) ambae tena chama chake hakipo kwenye...
  3. P I M

    Nitumie application gani kuangalia TV channels online ?

    Habareee, naimba usaidizi kama kuna mtu anaejua application ya kuangalia Tv za hapa nchin live kama Kenya anijulishe, please nahitaji sana jameni nisaidieni.
  4. P I M

    Masomo ya QT

    Habari zenu wana jukwaa, mie nina shida kidogo tu ila kwa kupitia jukwaa hili naamini nitapata ufafanuzi na usaidizi. Kie nina miaka kumi tangu nihitimu elimu yangu ya msingi na kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kendelea na elimu ya sekondari. Sasa baada ya kakaa kwa mda nimeona ni heri niweze...
  5. P I M

    Umri wa dunia ni upi hasa?

    Dah hata mwalimu aliyekufundisha alipata tabu, kumaliza kwako nadhani alipga magoti akashukuru sana.
  6. P I M

    Umri wa dunia ni upi hasa?

    Hata ww mwenyewe huyajui wala huna
  7. P I M

    Umri wa dunia ni upi hasa?

    Unaliza maswali ambayo hata ww mwenyewe unaamini hayana majibu na hata ww pia ajibu huna, unachokifanya hapa ni kurefusha maada. No point
  8. P I M

    Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi mafile mtandaoni

    Shukurani sana kwenu hakika mmenisaidia sana.
  9. P I M

    Umri wa dunia ni upi hasa?

    Kama wewe unaamini Mungu hayupo na omani yako haikuruhusu kuamini hvyo una haja gani ya kuleta mabishano yasipna na umuhimu tena ya kupotosha umma. Kuna vungi sana vya Mungu ambavyo binadamu hata ufanye vipi kuvijua hata ungeamua kutumia maisha yako yote kwenye utafiti utaambulia zerro.
  10. P I M

    Umri wa dunia ni upi hasa?

    Naamini mmepotea hoja iliyotolewa hapa kwa upuuz wenu na mabishano yasio na matinki. Turudi kwenye hoja DUNIA INA UMRI GANI.
  11. P I M

    Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi mafile mtandaoni

    Duh kumbe hotmail wako vzuri sana 15GB safi sana
  12. P I M

    Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi mafile mtandaoni

    Asante sana mkuu ila cna PC ndo maana nikaomba kujua app
  13. P I M

    Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi mafile mtandaoni

    vipi naweza kizidownload tena na kuzrudisha kwenye gallery pozzyfaza
Back
Top Bottom