Search results

  1. OllaChuga Oc

    Happy birthday Mwamba Ollachuga Oc.🤣🤣

    Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂 Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa 🤣🤣🤣. Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti...
  2. OllaChuga Oc

    Ninahitaji mkopo wa million mbili tu kiwanja kipo maeneo ya kisongo kama bondi.

    Wakuu kwema ..nahitaji mkopo wa Million mbili nina kiwanja kipo kisongo naweka kama bondi nimekwama sehemu hivyo nahitaji hiyo pesa. Kwa mwenye nia anisaidie kupata hiyo pesa then ndani ya miezi miwili kuanzia mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nitarudisha. Asante ni kila kitu kipo...
  3. OllaChuga Oc

    Mitungi ya gesi.

    Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
  4. OllaChuga Oc

    Zao la Vanilla

    Wakuu kwema? Hili zao la vanilla nimeona linapigiwa chapuo sana hasa kwenye bei yake nasikia ipo juu sana hadi kufikia usd 500 kwa kilo. Je ni kweli? Kwa wadau wanaohusika na ulimaji au wenye uelewa wa hili zao waje watupe elimu kuhusu ulimaji wa hili zao. Mimi siyo muumini sana wa fursa...
  5. OllaChuga Oc

    Hivi ni sahihi kwenda kazini ukiwa na dread?

    Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread). Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread? Naomba kujua wakuu.
  6. OllaChuga Oc

    Kuhusu kufuta Comment

    Wakuu khabari zenu wakuu. Mko salama? Naomba kujua endapo nahitaji kufuta comment(s) hapa JF. Mfano nimemuuzi mtu kwenye comment na hajapenda kile nilichoandika je nikifuta ile comment, itaondoka moja kwa moja kwenye server za jf? Na je mtu mwingine akiingia JF ataweza kuisoma ile comment...
  7. OllaChuga Oc

    Naomba ufafanuzi kuhusu IT courses

    Wakuu namna gani? Naulizia katika ulimwengu wa IT, kozi zinazokimbiza kwa Sasa sokoni.
  8. OllaChuga Oc

    Kwa Watanzania waishio Korea Kusini

    Wakuu kwema, nataka kwenda huko kimatembezi zaidi napenda sana nchi za watu wa macho madogo kama Japan, Korea, Vietnam, China ila kwa sasa naangalia sana Korea Kusini. Naomba muongozo kwa Watanzania wanaoishi humo. Gharama za Visa, nauli na malazi kwa haraka haraka niwe ni kiasi gani wakuu...
  9. OllaChuga Oc

    Ushauri: Biashara ya mchele kutoka Kahama Kupeleka Arusha

    Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of God[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..ni hivi wakuu tuachane na mbwe mbwe za majina. Ni Kwamba katika muda niliokaa...
  10. OllaChuga Oc

    Leicester Chama Kubwa

    Kuanzia leo tarehe 20 natangaza mimi ni shabiki wa Leicester City. Endapo Lampard ataendelea kuwa kocha wa Chelsea basi mimi nitatua rasmi Leicester. HUYU TAKATAKA LAMPARD AFUKUZWE HARAKA SANA. Nipeni mbinu za uhamiaji..kuhamia timu mpya wakuu.. Leicester 2-0...
  11. OllaChuga Oc

    Naombeni kujua ni nchi gani za Kiarabu ziko fresh kutembelea

    Wakuu mambo vipi? Heri ya mwaka mpya ndugu zanguni. Natumai wote ni wazima, wake kwa waume, wakubwa na wadogo pia. Kijana wenu hapa naombeni ushauri mwaka huu 2021 nimepanga kutembelea nchi za kiarabu walau kuosha macho kidogo maana huko ndo gharama nafuu kwenda kuliko Europe maana ni mlolongo...
  12. OllaChuga Oc

    Nahitaji Mahindi ya njano Na maharage ya Njano

    Niaje wakuu nahitaji kukusanya stock ya kutosha ya mahindi ya njano pamoja na maharage. Hivyo naomba kujua namna naweza kupata, nipo Arusha hapa.. Asanteni.
  13. OllaChuga Oc

    Biashara ya nyama choma

    Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi kimoja na nimeona ni deal na vitu hivyo vya kula kula maana mimi mwenyewe nakimbiza (nakula) japo...
  14. OllaChuga Oc

    Watalaam na wasio watalaam naomba kujuzwa

    Wakuu za asubuhi, mko powa wengine muko kazini wengine kwenye harakati za biashara, wengine wako mtaani hawana kazi au ajira. Cha muhimu ni uzima tu. Ok naomba kujuzwa kuhusu mambo ya nyota, je waweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke then mambo yako yakafeli kabisa au yakaenda kwa kusua ila...
  15. OllaChuga Oc

    Biashara ya matunda (Fruit Salad)

    Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda mchanganyiko au kachumbari ya matunda (fruit Salad). Nipeni muongozo wakubwa, naomba kujua...
  16. OllaChuga Oc

    Natafuta vijana watano tufanye biashara

    Natafuta vijana watano walio siriyaz na kazi tuungane tufanye biashara. Itakuwa ni biashara ya chakula. Sisi ndio wafanya kazi na sisi ndio maboss. Niko Arusha kama utapenda ku join karibu. Nicheki wasap 0768246184. NB: jinsia zote mnakaribishwa. "USIPOFANYA KITU, HAKITATOKEA KITU" CC CONTROLA
  17. OllaChuga Oc

    Happy 26 birthday to me...

    Heri ni siku yako mzeebaba Ollachuga Oc keep fighting bro everything is yours believe in plan A[emoji3][emoji3][emoji3] #ShabikiNguliWaChelsea.. #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
  18. OllaChuga Oc

    Nina shahada ya Procurement naombeni msaada wa kupata kazi yeyote ya halali

    Wakuu khabari za wakati huu. Mimi ni muhitimu wa fani ya ununuzi na ugavi (Procurement and Logistics/supply Management) mwaka 2019. Hadi sasa nina uzoefu wa mwaka mmoja baada ya kujitolea kwenye taasisi fulani ya Serikali. Napatikana Arusha na kama kuna kazi yeyote ya halali basi Niko tayari...
  19. OllaChuga Oc

    Anataka nimtoe bikra yake wakati anaolewa mwezi ujao

    Eee Bhana eee..! Hii imekaaje wakuu, kwanza habari za jumapili? Kwa wale mlioenda kanisani mtuombee na sisi tupende kwenda uko maana tupo tupo tu..! Sasa stori ni hivi ..juzi kati apa katika mishe mishe zangu za kutafuta angalau hata hela ya kula na kulipa kodi ya geto maana apa chuga khali...
Back
Top Bottom