Search results

  1. B

    Mtoto kachomeka USB mbovu kwenye flat screen

    Hbr ndugu Kama kichwa hapo juu dogo kachomeka USB mbovu na TV ikazima ukiiwasha inawaka lkn haidisplay kitu chochote n ukitumia king'amuzi unaweza sikiliza redio kwenye sabufa naomba msaada wenu kujua tatizo hili Je ni kubwa sana ? Na litanikost kiasi gan? Na leta kwetu kwanza ndg kbla...
  2. B

    Naomba kujuzwa bei za projectors

    Natanguliza shukrani kwenu wana jf Naomba kujuzwa bei za projector za bei rahisi sana kampuni yeyote ile ni kwa matumizi ya kawaida tu Napenda kuwasilisha kwenu
  3. B

    Naomba kusaidiwa tatizo la hiyo laptop maana hapo ukichomoa adaptor tu inazima kabisa

    Nisaidieni wadau juu ya mada tajwa hapo juu Nimejaribu kubadili adaptor lakini tatizo bado lipo na haiwaki mpka uchomeke adaptor Natanguliza shukran kwenu wanajf wote
  4. B

    Munishauri kwa matokeo haya ya o'level 2008

    Civ B history C English D kisw B Geo C bios C chemistry B mathematics C physics sikufanya ilikuwa division II 18. Je naweza chaguliwa kusoma(Co) clinical officer nikiapply nacte? Naomba kusikia kutoka kwenu wadau
  5. B

    Kuangalia TV bila king'amuzi

    Wadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV , Kama kweli utumika nini? Naomba kuwasilisha
  6. B

    Tecno j8

    Wadau poleni kwa uchovu wa weekend Nina rafiki ana techno j8 (boom) Bluetooth yake haina nguvu ya kukonet umbali wa haya mita mbili Tatizo nnn? Na nn afanye? Nategemea kutoka kwenu wadau
  7. B

    Naomba msaada wa tekinolojia

    Ndg wana jf naomba kusaidiwa Nina laptop aina ya HP min probook 4331s wakati nainunua ilikuwa na hard disk (HD) 640 nikabadili window 7 na kuweka window 8 .sasa cha ajabu imepungua HD ni 121+474= 595 ( yaan total ya partition C na D ) naomba msaada ili niweze kuiongeza ukubwa wake n je hiyo...
Back
Top Bottom