Search results

  1. jonas amos

    VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
  2. jonas amos

    Kama huyu ndiyo Katibu wa Wilaya CHADEMA anaandika hivi safari bado

    Katibu wangu mkoa wa Katavi chama Cha Demokrasia na maendeleo, CHADEMA mm DEUS JOSOPHATH KAMOJA ambaye ni katibu wa chadema wilaya ya mlele. Kwaheshima naomba kukutaarifu kuwa nimeamua kupumzika na siasa Lasimi za upinzani kutokana na majukumu niliyo nayo. Hivyo napenda kuchukuwa nafasi hii...
  3. jonas amos

    Uzinduzi wa tawi jipya la SUA Wilaya H/W Mpimbwe

    Leo tarehe 5/1/2020, Chuo Kikuu cha Kilimo kinazindua tawi lake jipya mkoa wa Katavi Halmashauri ya Mpimbwe mjini Kibaoni, kijiji ambacho anatokea Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda. Wageni mbalimbali tayari wanaingia ikiwa ni pamoja na Wakuu wa mikoa 8 ambapo Katavi, Tabora, Rukwa, Songwe...
  4. jonas amos

    Imekaaje kiusalama 9 Desemba sherehe za Uhuru na Fiesta ya 8 Desemba

    Nimeota Clouds watazuiwa kufanya shoo uwanja wa Uhuru sababu nilizopewa ni mbili; suala la usalama kwan December 9 ni Uhuru day na maandalizi ya uwanja yataanza siku mbili kabla ukaguzi na mengine ya kiusalama. Lakini jambo la pili ni TFF wana hofu ya nyasi kuharibika. Na tatu Clouds wanajua...
  5. jonas amos

    Azimio la masomo darasa la III mpaka la VII msaada kwa mwenye nayo

    Salamu, kwa msaada Mwalimu yeyote mwenye PDF ya maazimio ya masomo kwa mwaka huu naomba. Kama upo nao au unajua namna ya kuupata, naomba kusaidiana katika hilo Nawasilisha. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jonas amos

    Shombo za Mond kwa Kiba

    Naanza na kunukuu "Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu asajiliwe na wakal hawa wa burudan Tanzania Mara baada ya kauli hiyo iliibuka shangwe kubwa kutoka kwa...
  7. jonas amos

    Shule za selikali za bweni zaanza kufungwa

    Salamu wapendwa wana jf Naomba kuweka wazi kabisa katika hili sipo kwa maslai ya ccm chama tawala au ukawa/chadema kwa wapinzani naomba nisimame kama mtanzania Siku chache baada ya Mh. Rais wa JAmhuri ya muungano Tanzania Dr. John pombe Magufuli kukataza michango ya aina yoyote ile katika...
  8. jonas amos

    Reyvan boy tenaaaa na siri na vionjo Fulani hivi

    Naanza fasta bila kukuchosha Toka ananza kuimba kuna muda nikahis anaimba utani utani tu manake nyimbo kadhaa ni kama za watoto za kuchekeshana mfano hiyo zezeta Awaaaaaaaaaaaaap kwangu sijaona kitu Labda ndo wale wa "I'm doing music just for run" maybe Ila kuna haka kawimbo sijui kapyaaa ka...
  9. jonas amos

    JUFUNZE NAMNA YA KULA SANA MSIMU HUU WA SIKUU

    Salamu wanajukwaa Wenye nyumba na hata sisi wapangaji WA kudumu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kutokana na kuwa wingi WA mialiko ya kipindi hiki cha siku kuu Leo Nimeona ni vyema tukabalishana ujuzi wa namna ya KULA SANA kipindi hiki ili mialiko Isiende bure kwanza Dhambi kama sio dharau...
  10. jonas amos

    Bwana yesu asifiwe wapendwa

    *CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za sadaka. WA PILI: Mimi tatizo langu ni wanawake yani nimeshalala na wana kwaya wote pamoja na mke wa...
  11. jonas amos

    TFF sio TASAF, Simba waomba kuandamana Dar

    Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umeandika barua kwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro ikiomba kufanya maandamano ya amani Jumanne ijayo kupiga uonevu wa Shirikisho la Soka TFF . Kwa mujibu wa barua ya Simba iliyosainiwa na rais wa Simba, Evance Aveva ilisema lengo la maandamano...
  12. jonas amos

    Mapendekezo na ushauri wangu kwa Bodi ya Mikopo

    Habari Tanzania Habari African Leo napenda nitoe wazo la juu ya mikipo inayotolewa na bodi ya mikopo chuo kikuu Binafsi nimeona ni wazo jema mpaka nalileta hapa mkekani japo wapo watakao ungana na mimi ila sitoshangazwa na watakao kuwa tofauti na mimi hii si tatizo hata na huo ndo uhuru wa...
  13. jonas amos

    Wanaume

    *"Wanaume Bhana, Tunaushirikiano Sana, Eti Mwenzetu Akija Na Demu Gheto, Wengine Wote Tunaaga Kwa Sababu Mbalimbali ili mtu aliwe"* _Mungu Anatuona.._
Back
Top Bottom