Search results

  1. jonas amos

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Wana ikulu wengi wanaostafu waliostafu na badhi waliopo kazini wamekimbilia huko Sio kila anayejenga mwizi Wamejitafta kwa muda mrefu
  2. jonas amos

    Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

    Kwa sisi ngozi zetu mafuta yakutosha haitusumbui
  3. jonas amos

    Lotion /mafuta ya kupaka kwa mwanaume

    Aina ya ngozi yake maana zipo nivea zaid 10 nahis So kama alichagua ambayo inamkataa sio lazma na wewe itakukataa
  4. jonas amos

    Mahakama zenye mamlaka (jurisdiction) ya kusikiliza kesi za ndoa nchini Tanzania

    Huu uzi ni tiba kabisa Nimepitia haya nimeusoma Nami nafasi ipo bado Asante sana mwandishi Mungu akubariki
  5. jonas amos

    Wataalamu wa kudukua/ ku-hack simu za wenza wetu tukutane hapa kueleza athari tulizozipata baada ya kujifanya wajanja!

    Moja ya mambo ambayo naenjoy kufanya ni haya aisee ila uwe na moyo sana na usiwe mtu wa kupenda sana utakufa Hii kitu kwa mara ya kwanza 2013 nilianza kwa kudukua acc za Facebook za watu wangu wa karibu afu badaye nakuwa nawatania mulemule na kisha najiita nabii chuoni hahahaha Pia kudukua...
  6. jonas amos

    VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
  7. jonas amos

    Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

    Sasa usiseme wenzako wamechelewa kulinganisha na mwingine jiangalie wewe kwanza
  8. jonas amos

    Rais Samia ajitafakari, yupo kwajili ya Wanasiasa au Watanzania?

    Ameajir sana mbona magu 2016 ulinzi na usalama 2017 watendaji ualimu ma afya na 2018,2019 kadhalika 2018 madaraja watu wakapandishwa na 2019 pia Swala sukari kupanda kiuchumi hailikuwa na impact Ila ilipopanda petrol tumeona madhara yake 2021 baada jpm kufariki
  9. jonas amos

    Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

    Unajiona nani mpaka usiambiwe ukweli Abood dar mpanda hakuna over swala ataleta baadaye mwezi ujao sijui hizo adithi ambapo sio hoja ya mtoa mada
Back
Top Bottom