Search results

  1. benruby

    Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

    Wazanaki ni asili ya wakurya,Nyerere katoka kwenye jamii hyo hyo Kusema hawajatoa rais ni kutokuwa na upembuzi yakinifu
  2. benruby

    Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

    Ni ngumu watu kukuelewa. Hii ni sawa na nyingine nyingi zilizopita kama akina Ezzy E,MJ,R.Kelly,Dmx... Ni muongo mwingine ktk rap,kumbuka imetimiza miaka 50 tangu hapo. Diddy hachomoki kwenye hili
  3. benruby

    Magodoro unaletewa mpaka ulipo bure

    Magodoro ya upepo mko nayo pia
  4. benruby

    Uliwezaje kuishi na mtu Mwenye roho mbaya

    Dawa Yao ni kuwa mpuuzi tu, utamuumiza sana nishawahi ishi na mtu wa hivyo Wengi wao hawanaga exposure na ni empty minded. Ni watu flani hv wazembe wazembe, yaani hawezi fanya jambo lake bila kuskumwa na akianzisha jambo halimalizi ni lazma aishie njiani. We kuwa mpuuzi tu puuzia maneno...
  5. benruby

    SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Hawa si ndio kama wale wa Smart Mauzo. Usipolipia hata siku 1 stock inapotea Sitaki hata kuwasikia
  6. benruby

    Bila Tsh. Milioni 4.5 haurekodi ngoma kwa Producer S2Kizzy a.k.a Zombie

    @havanna sio kuzinguana rejea post yangu Nahreel alitangaza bei ya session kama alivyofanya zombie Weusi studio time Kwa beat makers wadogo Huwa hawalipi, Wao wanasema wanampa mileage producer Ngoma ikitoka na kuwa Kali, Session waliosema walipia ilikuwa ni B hitz wakati marehem Pancho yupo...
  7. benruby

    Husda za kazini mbaya sana

    Kosa la kwanza na la kujirudia ni [emoji3516][emoji3516][emoji3516] Achana nao Fanya kazi wasikutishe na wingi wao, ishi nao Kwa akili halafu hapo ni kazini sio Sehem ya kuwania Award ya kufurahisha watu. Unalea sana ujinga we mzee
  8. benruby

    Diamond Platnumz na Jux wakwama kwenye lift kwa dakika 15

    Wanatafuta trend za nyimbo zao,hilo tukio ni la kupangwa kama mengine yanavyopangwa. Na wabongo Kwa kushabikia upumbavu hawajambo. Eti tumenusurika kifo
  9. benruby

    Roho na ndoto (Dreams)

    Hii Iko deep sana, Kwa uelewa wa kawaida ni ngumu kuikubali au kuikataa[emoji120]
  10. benruby

    Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Mzee yupi mkuu, unatusimulia km tulikuwepo au tunamjua
  11. benruby

    Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji868] Umetisha
  12. benruby

    Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    And he bleeding for 7 days
  13. benruby

    Dark days 17/03/20...

    Kuhusu mzaliwa ni story tu za kahawa hamna kitu kama hicho. Eti, alishikwa na sembe Kwa jamaa wale wenye macho madogo akaingia vifungoni na makaratasi yanayoi+cost kampuni[emoji1787][emoji1787]
  14. benruby

    Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Kwa nini wasisumbuliwe wale aliowapa mamlaka ya kuratibu na kuvisimamia vitu/madaraka waliyoachiwa
  15. benruby

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Leo ni hit song ya marioo na Whozu
  16. benruby

    Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Hii Kuna somo lake mkuu, au maarifa ya vitabu na vitabu. Itakayo kufanya usome sana!? Cybercurex
Back
Top Bottom