Search results

  1. Norton82

    Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Usimsemee M/Mungu, M/Mungu amepanga Dr. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mpaka lini? Mimi nawewe hatujui.🙏
  2. Norton82

    Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Umenikumbisha maneno ya Dr. Salmin Amour Juma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu, wakati akizungumzia Urais wa Zanzibar, alisema Urais si Halua kwamba kila mtu alambe.
  3. Norton82

    Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Maana yake wanaongoza watu wenye akili na utashi, ambao wanajua kutofautisha zuri na baya, la kweli na la uongo, sifa ambayo haipo kwa hao kuku au mbuzi, kwahiyo wachange karata zao vizuri!🙏
  4. Norton82

    Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

    Kuna elimu yenye tija hapa kuliko kuendelea kuwalalamika wasiojali bora uanze kutafuta suluhisho at individual level.🙏
  5. Norton82

    Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

    Mpaka unamwagika!🙆🏽‍♂️
  6. Norton82

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kwani bado tunaendelea kubet!😀
  7. Norton82

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Sisi ni kama Tomaso mpaka tuone Mkuu!😀
  8. Norton82

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Au mtandao wa ajira portal unasumbua?😀
  9. Norton82

    Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Anaenda kumuwakilisha Mama Malawi. Kila la kheri kwake.
  10. Norton82

    Wadau wahoji uhalali wa Daraja la Tanzanite kuwa bure huku la Kigamboni likiwekewa Tozo

    Kwahiyo wakazi wa Kigamboni wataendelea kulipa kwenye lile daraja mpaka mwisho wa dunia?
  11. Norton82

    Kwanini wagonjwa wa Kisukari hukatwa miguu na si mikono au kiungo kingine?

    Pole kwa msiba na shukrani kwa kunipa elimu!🙏
Back
Top Bottom