Search results

  1. proxy

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa. NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.
  2. proxy

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Hello ndugu zangu habari za Muda huu, Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Ni Kwa namna gani naweza soma au jifunza hizi course tajwa hapo juu? Kama kuna yeyote mwenye muongozi nahitaji msaada.
  3. proxy

    Nini suruhisho la tatizo la Wasiwasi na hofu

    Wakuu naomba ufumbuzi wa hili tatizo hapo juu maana naona kama linazidi Sasa.Hofu na Wasiwasi inakuja Kwa kila jambo unalotaka kulifanya au unategemea kulifanya.Mwenye suluhisho naomba aweke hapa ndugu zangu
  4. proxy

    Hospitali gani nzuri kwa matatizo ya macho?

    Wakuu, habari za Muda huu, Naomba kusaidiwa mada tajwa hapo juu, Kwamba ni hospital gani yenye maspecialists wazuri na wana vifaa vizuri Kwa hapa bongo?
  5. proxy

    Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

    Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada. Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
  6. proxy

    Matibabu ya saikolojia

    Heshima zenu wakuu, Hivi Kwa nini tiba za kisaikolojia hazitumii Bima ya Afya( NHIF)?
  7. proxy

    Soko la Soya

    Habari za muda huu ndugu zangu, Nije moja kwa moja kwenye mada, nina soya zipatazo tani kama 15, nahitaji kujua bei ikoje sasa kwa kilo?
  8. proxy

    Kipimo cha Full blood picture

    Wakuu naomba kufahamu ni kipimo gani hiki na lengo lake ninini? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  9. proxy

    Hii kitu inamaana gani?

    Wakuu hii kitu inamaana gani? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  10. proxy

    Nini kinasababisha wasiwasi kupita kiasi?

    Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri. Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  11. proxy

    Nahitaji kufanya utafiti wa 'Cyber Security' kwenye afya

    Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Nahitaji kufanya academic research kwenye eneo hilo kihusiana na usalama uliyopo kwa sasa kwenye ishu za taarifa za wateja. Ni maeneo yepi naweza anza nayo ambayo hayapo salama? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  12. proxy

    Cyber security model expert

    Wazee kama kuna yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza model za security kwenye data za organization, please namwomba tushare kitu. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  13. proxy

    Wazee wa networking msaada wenu unahitaji hapa

    A path in a digital circuit switched network has a data rate of 1 Mbps. The exchange of 1000 bits is required for the set up and teardown phases. The distance between two parties is 5000 km. What is the total delay if 1000 bits of the data are exchanged during the data transfer phase? Assume...
  14. proxy

    Ni sehemu gani ya utalii naweza tembelea wilaya ya Kondoa

    Hello, kama mada inavyojieleza hapo juu Binafsi natamani kufika Wilaya ya Kondoa kwa ajili ya utalii wa ndani tu. Ni maeneo gani au kivutio gani kinafaa kutembelewa kwa hii Wilaya?
  15. proxy

    Masters in Information Security

    Wadau mwenye ushauri juu ya research Title ya hii kitu anisaidie Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  16. proxy

    MASTER IN INFORMATION SECURITY

    Wadau naomba kujua hii program kuna dogo anataka kusoma, ugumu wake ukoje ,lakini vipi soko lake? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  17. proxy

    Nahitaji Media Convertor

    Hello, Wadau habari za muda huu. Nahitaji Media Convertor naweza pata duka gani hapa Kwa Dar au nje ya Dar? Bei ikoje? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  18. proxy

    Ofa bab kubwa ya utengenezaji wa tovuti

    Pata Tovuti kwa biashara/kampuni yako kwa gharama ya Tsh 230,000/-. Hii ikiwa ni pamoja na gharama ya Domain na hosting. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  19. proxy

    Nahitaji betri ya Latitude e7240

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji betri ya laptop. Duka gani itapata kwa bei nafuu? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  20. proxy

    Ujumbe Muhimu kwa Watanzania wote kuhusu Sensa

    Siku ya kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
Back
Top Bottom