Search results

  1. technically

    Serikali iongeze umakini zaidi kwenye Idara ya Ujasusi

    Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA. Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje vinaingia sana nchini kwa ajenda ambazo hazina mashiko hata kidogo na watu hawa uwa wanaenda kwenye sehemu...
  2. technically

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  3. technically

    Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

    Ukubwa wa mamelod ni upi? Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa? Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku? Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au? Mamelodi kazidiwa mafanikio na Al ahly Wydad...
  4. technically

    CHADEMA na CCM zote hakuna kitu. Uchaguzi wa mwaka huu 2024 na 2025 watu watachagua nini?

    Niseme tu ukweli toka amefariki Rais Magufuli nchi imepoa kisiasa hakuna hoja kabisa. Chadema chini ya Mbowe chama kimejifia kabisa. Hakuna sera wala mikakati ya kuwasaidia Watanzania nao wengi wao mamegeuka kama mafisadi ya nchi hii. Wamewekeza kwenye biashara wanavuna Mbowe anaomba misamaha...
  5. technically

    Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

    Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto? Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa? Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali? Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto Labda kama unapasha tu...
  6. technically

    BENCHIKA Atoweka nchini

    Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
  7. technically

    Karia asiruhusiwe kusafiri na Yanga, ndiye adui namba moja wa Yanga

    Huyu jamaa ni snitch mkubwa na muhujumu na adui namba moja wa Yanga. Nashauri Yanga iachane na maafisa wote kutoka TFF, BMT na wizarani. Wekezeni kwenye watu wa sakolojia benchi la ufundi tu !!! Karia ni adui namba moja wa Yanga
  8. technically

    Shida ya yanga ni Namba 6 7 na 10

    Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8 Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira Namba saba mwenye kasi na anayetumia reft au Azziz ki arudishe winga Namba saba Msitumie pesa kununua mabeki yanga inavuja katikati kwa...
  9. technically

    Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

    Nina mpango wa kukununua moja nimpeleke kwangu aise yanavutia madude unaambiwa yanatoa huduma zote tofauti kuzaa tu
  10. technically

    Kikosi cha kushinda Algeria kiwe 3:5:2

    Kikosi cha kuiua USM kwao Kikosi kiwe 3:5:2 1 Diara 2 Juma Shaban 3 Lomalisa 4 Mwamunyeto 5 Job 6 Baka 7 Zawadi mauya 8: Bangala 9 Mayele 10: Mudathir 11 Morrison Yaani kuwe na mabeki watatu Baka,job na Mwamunyeto. Viungo watano Juma Shaban, Lomalisa, Zawadi mauya, Mudathir na bangala...
  11. technically

    Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  12. technically

    Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

    Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
  13. technically

    Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

    Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana. Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga...
  14. technically

    Yaache madaraka yakufuate sio kuyatafuta

    Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta urais na ndio maana hatuna visionary leaders tuna watu wengi waliojaribu kuwa na wakawa. Madaraka...
  15. technically

    Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

    Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao. Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa. Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini. Kila namba...
  16. technically

    Utajiri wa Mo uchunguzwe

    Mo ni tapeli utajiri wake uchunguzwe Sana jamaa anawaliza simba Tajiri namba moja Tanzania anakosa milion 300 kulipa bonus? Bilioni 20 zimeishaje ? si zilingefanya uwekezaji pesa za kununua hisa si zinatakiwa kufanya uwekezaji? Simba ni uwekezaji gani wamefanya wakati hata makao makuu tu...
  17. technically

    Takwimu za mayele 2022/2023 zinaogopesha

    Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚
  18. technically

    Hakuna cha kufungwa kiume kichapo ni kichapo tu

    Simba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game kabisa leo sema kikosi hakuna tuwe wakweli!! Ligi ya mabingwa inahitaji uwekezaji karibuni tena...
  19. technically

    Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  20. technically

    Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

    Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly. Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly Mamelodi ndiye...
Back
Top Bottom