Search results

  1. Zambotti

    Natoa huduma ya kufanya maombi ya Mkopo wa Elimu ya juu

    Karibu nikusaidie kuomba MKOPO elimu ya juu na vyuo vya kati. Pamoja na huduma hii pia nitakusaidia: Kuhakiki cheti cha kuzaliwa na cheti cha kifo. Namba ya nida. Na mipango yote inayohusu maombi kwa njia ya mtandao Kwa Dar es Salaam nakufuata mahali popote ulipo. Malipo ni baada ya...
  2. Zambotti

    Mapacha waliopoteana kwa miaka 53, Stori iliyonitoa machozi

    Jana bhana, baada ya habari ya BBC, StarTV wakarusha documentary ya DW iliyokuwa ikielezea mapacha wawili wa kiyahudi waliozaliwa Ujerumani kipindi cha Vita ya Pili ya Dunia. Walizaliwa kipindi ambacho Hitler anachinja Mayahudi kwenye Holocaust, baba wa watoto hawa alikuwa anapigana upande wa...
  3. Zambotti

    Anahitajika Matroni wa kukaa na wanafunzi hosteli

    Anahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni : 01. Kupika 02. Kufua 03. Kupiga pasi 04. Kusafisha mazingira ya hostel 05. Mengineyo Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni : 01. Awe mtanzania 02. Awe muislamu...
  4. Zambotti

    Mwenye Gb WhatsApp (Anti ban) please share

    Jamani hizi gb WhatsApp leo sizielewi, nadhani ndio ishafungiwa hii ya kwangu na kila nnayoitafuta haitoi majibu mazuri kwenye installation. Tafadhali kama una latest gbwhatsapp antiban version tafadhali tugawane.
  5. Zambotti

    TBC na Serikali mnaishusha hadhi na heshima ya Mwakinyo

    Hiki kinachoendelea hapa TBC juu ya pambano la Mwakinyo sijui tukiite kitu gani. Mambo yako ovyo ovyo. Eti wapiganaji wa mapambano ya utangulizi ni wabunge, na spika juu tena kakimbia pambano dah.
  6. Zambotti

    Nafasi za kufundisha Shule ya msingi English medium

    Wanahitajika walimu wawili wenye uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo: 1. Mwalimu wa somo la kiswahili mwenye uwezo wa kufundisha darasa la 3 mpaka la 7 Sifa: awe na diploma au degree, mwenye uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza. Uzoefu hata wa mwaka mmoja kama umewahi kufundisha...
  7. Zambotti

    Mama azidi kupaa

    Huko duniani wanaona nini ambacho sisi hatukioni kwa mwishimiwa
  8. Zambotti

    KAWASCO mgambo wa Kariakoo wako hatarini

    Juzi katika pitapita zangu sokoni Kariakoo nimeshuhudia matukio yakushangaza yanayofanywa na hawa jamaa ambao tshirt zao mgongoni zimeandikwa KAWASCO. Kwanza wanatembea kwenye kikundi cha watu saba mpaka kumi. Shughuli yao kuu ni kuondoa wafanyabiashara ambao hawajajipanga kwenye maeneo...
  9. Zambotti

    Sakata la Chalinze Islamic nyuma ya pazia

    SOMENI NA KUTAFAKARI KWANZA MUELEWE VIZURI MSIKURUPUKE KUSHAMBULIA SHULENI YA CHALINZE ISLAMIC Hakuna anaeunga mkono makosa yaliyojitokeza. Hakuna anaeunga mkono mtoto kudhulumiwa. Hakuna anaekubali na kutetea uzembe na usaniii unaoweza kufanyika shuleni wakati wa mitihani. Kama MTU hajui...
  10. Zambotti

    Kazi ya sensa imekwama pakubwa, wahusika mna lipi la kutuambia

    Zoezi linaenda kinyonge mno. Wale washika dau pale juu walitumia nguvu kubwa kutuaminisha ile siku ya kwanza kwamba mambo yanaenda vizuri. Kiukweli Makarani wana wakati mgumu huku ground, miundombinu imegoma. Karani anaeenda mwendo mzuri pamoja na kupika data kajitahidi sana kwa siku anapata...
  11. Zambotti

    Star TV tuongee asubuhi mnapinga sensa?

    Leo kipindi cha star tv tuongee asubuhi, amealikwa mwandishi Odelo charles Odelo kuzungumzia habari ya sensa. Dooh jamaa ameipinga sensa vibaya. Hoja zake ni hizi.. 1. Kama tuna taasisi ya nbs kazi yake ni ipi kiasi mpaka ifanyike sensa baada ya miaka kumi. 2. Maafisa takwimu wilaya wanaolipwa...
  12. Zambotti

    Maombi ya mkopo HESLB, uhakiki RITA

    MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu: Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo: 1.Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, Rita 2. Kutuma maombi nafasi za masomo ya vyuo vikuu 3. Maombi ya mkopo...
  13. Zambotti

    Baadhi ya mambo ya kweli kuhusu maisha?

    1. Baadhi ya jamaa zako wanangojea kwa siri kushindwa kwako. 2. Hakuna anayejali jinsi maisha yako yalivyo magumu isipokuwa wazazi wako tu. 3. Watu wengi hawabadiliki wanajifanyisha tu wawapo mbele ya watu wanaohitaji mabadiliko yao. 3. Kile unachokitaka huwezi kukipata kila wakati. Ukweli...
  14. Zambotti

    Mwalimu wa Sayansi na Hisabati anahitajika Faraja Islamic Kivule, Dar es Salaam

    Natafuta mwalimu mmoja tu wa somo la science na mathematics. Awe na uwezo wa kufundisha primary level kuanzia standard three mpaka seven. Awe amesomea ualimu kwa ngazi ya diploma au degree kwenye chuo chochote kinachotambulika na serikali. Awe na uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea lugha ya...
  15. Zambotti

    Salum Mkambala wa Magic FM ni kilaza wa kutupwa

    Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza Magic Fm kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli. Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani. Kila...
  16. Zambotti

    Nafasi za kazi ya ualimu

    Natafuta walimu wawili tu, wawe na uwezo wa kufundisha primary level masomo ya science, mathematics na social studies kuanzia class three mpaka seven. Shule ni English medium iko kivule, Ilala Dar es salaam. Muombaji na uwezo wa kuongea, kuandika na kuzungumza kiingereza. Awe amesoma ualimu...
  17. Zambotti

    Walimu 5 na Mabinti 4 waliosomea usekretari wanahitajika

    Wanahitajika 1. Waalimu watano wa Elimu ya Dini ya Kiislam (EDK) jinsia yoyote. 2. Mabinti 4 waliosomea secretary na wenye kujua vizuri Computer Sifa 1. Awe Tayari kufanya kazi Mkoa wa Tabora 2. Awe na Ujuzi wa kazi 3.Awe Muislamu anaejistiri na muadilifu Usaili Utafanyika siku ya Jumamosi...
  18. Zambotti

    Wimbi la tatu la Korona serikali inatia hofu wananchi?

    Haya ni maoni yangu na nimeweka kama swali, kimsingi serikali inatupa hofu, move waliikosea tangu mwanzo waache raia tufanye harakati zetu. Wameanza kututia hofu upya kabisa na muda si mrefu huenda wakaanza kuzuia mikusanyiko. Sijui hapo ulipo hali ya hili wimbi la tatu kama linavyotatajwa na...
  19. Zambotti

    Kifahamu kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station, ISS

    Ilizinduliwa mnamo mwaka 1998 na wanaanga wamekuwa wakiishi humo tangu wakati huo. Ni mahali muhimu kufanya majaribio na utafiti wa anga ambao utasaidia tafiti za baadaye kuhusu maeneo kama Mwezi na sayari ya Mars. Kituo hiki kinazunguka kote ulimwenguni kila dakika 90, kikisafiri kwa maili 5...
  20. Zambotti

    Nawezaje kumuhamisha mwanafunzi bila kuripoti katika shule alopangiwa?

    Wakuu nataka kumuhamisha mdogo angu shule, matokeo yametoka jana ya Darasa la saba huyu dogo amefaulu lakini alisoma mkoa wa Mbeya kwasasa nataka nimuhamishe asome hapa DSM ili iwe rahisi kwangu kumpatia huduma muhimu za kielimu. Je, naweza kumuhamishia hapa bila kwenda shule atakayopangiwa...
Back
Top Bottom