Search results

  1. Kazwala mkuu

    Bunge kutuongezea Tozo, je tulihukumu?

    Salaam Kawaida ya watu wanaoamini ushirikina wanapogundua kuwa fulani ndiye aliyempiga zongo mwanawe, huwa hawana furaha nae tena hata akijichekesha. Katika maofisi, watu wanapogundua kuwa fulani ndiye anaeleta fitina ili wenzake waharibikiwe katika shughuli zao, huyu hutengwa mazima kama si...
  2. Kazwala mkuu

    Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

    Lete hiyo pesa uje uivute hii.
  3. Kazwala mkuu

    Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

    Hii inataka moja saba...gearbox ilishauzwa mkuu
  4. Kazwala mkuu

    #COVID19 Covid 19 sio janga kubwa la mwisho, tujiandae na janga kubwa lingine - Bill Gates

    Chanjo zake mbali mbali alizotoa Africa anajua zitajibu tu na watu wataanguka kama kuku wenye kideri! Anajua muda sahihi wa hayo anayosema.
  5. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea...SEHEMU YA NANE Mganga; hawa wenzako ndiyo wanaokupa maradhi ili ujirudi na kukubali kumtoa mwanao kikoa ila kadri unavyokiuka kiapo na kupingana nao mwisho wa siku watakula nyama wewe. Yule mama kwa sura ya huruma na majuto akasema kwa sauti ya chini; "naomba unisaidie baba ndio...
  6. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Akhsante...ni majukumu ndiyo yananibana kidogo ndiyo maana nimeandika alfajiri, ila nitajitahidi.
  7. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea....SEHEMU YA SABA Ndugu wasomaji Watu wengi wamejitokeza katika uzi huu na kueleza kwa uchungu mno mikasa ya kishirikina waliyopitia na wanayopitia sasa! Hii inaonyesha wazi uchawi upo na watu wanaumia ila hawana pa kusemea walau kutoa nyongo zao, maana jamii ya leo imejaa dhihaka...
  8. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Naam nimelaghai mkuu na nikachangiwa mamilioni sasa nitajiri kutokana na akili na muda niliotumia kulaghai, vipi unataka nikupunguzie ukwasi kidogo ili usiniharibie biashara?
  9. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Nikitulia tu mkuu maana kuandika si mchezo.
  10. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Bila samahani, nilikwenda November mwanzoni na nimerudi January tarehe za juzi tu hapa.
  11. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Tangu naanza tu page ya kwanza ulianza kunipinga kuwa uzi ufungiwe kwa kuwa nitatoza watu pesa Telegram! Baada ya kuona hilo halipo na naendelea kama kawaida, unaokoteza usiyoyajua ili kuleta walakini! Una shida gani mkuu au hutaki ya kichawi yasemwe? Ok kuhusu swali la mdau ni kwamba nimekwenda...
  12. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea.....SEHEMU YA SITA Ndugu zangu nifafanue kidogo, nilikuwa siamini haya mambo hapo awali na jambo usipoliamini usilipinge bali tafuta ukweli wake kwa waliozama katika fani hiyo...naam ndivyo nilivyofanya na ndiyo maana nikawa karibu na nikawa ni mfano wa msaidizi au kwa lugha zao...
  13. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Hapo ni kabla ila imani ilikuja baada ya huu mkasa hivyo tulia mkuu twende pamoja, pia sikusema nimewahi kupinga sehemu yeyote hebu endelea kunisoma mkuu ujifunze au kuongeza ujuzi kama si kukukumbusha jambo.
  14. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea....SEHEMU TANO Ndugu zangu, ni kwamba huyu ndugu mganga alikuwa na majini ya namna mbili, wale wenye Imani, usafi na kusimamia uganga kwa haki na hawa hutambulika kama majini wa pwani au wafalme wa vitabu. Upande wa pili ni majini wenye kutumia mitishamba na hawa husimamia maaguzi...
  15. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea....SEHEMU YA NNE Huyu mke wa mganga nae ana majini nae ingawa hajishughulishi sana na mambo ya uganga zaidi ya kutumwa moto na vitu vidogo vidogo tena kwa kufanya kuitwa, ila siku hiyo majini yake yalikuja kwa uchungu baada ya kuona mganga amezidiwa. Mke wa mganga akasema njia ya...
  16. Kazwala mkuu

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Inaendelea...SEHEMU YA TATU Yule bibi alisema neno moja tu, UCHAGUZI NI WAKO SASA!! kisha akaondoka kwa hasira. Tukabaki sisi wawili na kwa haraka nikamwambia kwa nini usingechukua mshiko ule na akanijibu kwamba yule hana nia njema hivyo anaweza kukupa pesa kumbe tayari zina husda ndani yake...
Back
Top Bottom