Search results

  1. Muharango

    Mnada wa samani:Je,ikipatikana zaidi ya bil 1.,pesa inayobaki inakwenda wapi?

    Wanachukua Kodi yao , wanamlipa dalali ( Yono) na inayobaki anapewa mwenye mzigo ambae ni Paul Makonda
  2. Muharango

    Tofauti na Wahudumu wa ATCL waliodhihakiwa mitandaoni, kumbe ATCL ina visu balaa

    Ukisoma huu uzi utaelewa kabisa kwamba pia Mwanamke ni Bidhaa!
  3. Muharango

    Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    Sasa akitumbuliwa ataenda kufanya kazi gani wakati hana Vyeti!
  4. Muharango

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally akiri wazi kuwa CCM bado kuna maovu: Adai Makundi ya Uchaguzi bado yanaendelea.

    Ni Nape M, haa X Ni January M, X Ni Mwigulu N, X Ni Mahiga A, X Ni Muhongo S, X Ni Makame M, X Ni Mwinyi H, X Ni Karume A, X Ni mmoja miongoni mwa hao, kaaaaaazi kwelikweli . Karibu Katibu Mkuu umetoka Darasani Kwenye Siasa za Nadharia sasa umeingia kwenye Siasa na Propaganda zenyewe, karibu...
  5. Muharango

    Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

    Rais wa 2025 ni Makame Mbarawa na Makamu wake ni Makamba.
  6. Muharango

    Waziri Mwakyembe: Azam, Zuku na DSTV walirusha maudhui ya ndani kinyume na leseni zao! Lazima warejeshe fedha zote walizowatoza Wananchi

    Kwa namna hiyo serikali haina uhuru wa kuambia Azam wabadili chochote kama mambo yakiharibika mpaka wao wasiliane na mamlaka za huko mitambo ilipo ili zikubali au zikatae..... Mwakyembe H.G [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Muharango

    Deo Mwanyika ajiuzulu ACACIA Mining

    Aende tu!
  8. Muharango

    Kati ya sayansi na imani za dini ipi imejibu masuala muhimu kwa ufasaha?

    Kwa kutumia Hoja za Dini Unaweza kutibitisha kwamba Mungu yupo au hayupo? Thibitisha
  9. Muharango

    Kati ya sayansi na imani za dini ipi imejibu masuala muhimu kwa ufasaha?

    Kwa kweli Sayansi imejaribu kujibu hoja hata kama sio zote lakini Dini na Watumishi wake wameshindwa hata kutonyesha alipo Mungu Baba hata Yesu Kristo mwenyewe alishindwa kumuonyesha Filipo alipo Mungu Baba." Filipo akamwambia na utuonyoshe alipo Mungu Baba yatutosha" Soma Yohana 14:8-12. uone...
  10. Muharango

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kwanza hao TEA ndio kitu gani? ni TIE. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Muharango

    Yule kichaa aliyekuwa akipita Mikumi kwa miguu kaliwa na simba miezi 2 iliyopita

    [emoji23][emoji23][emoji23] " Katumia lugha ya picha" hata hivyo nimependa jibu lako. Yawezekana anasikia Wadaku wanasema kaliwa na yeye anafuata mkumbo. [emoji106]
  12. Muharango

    DC Temeke aibiwa gari nyumbani kwake; ashangaa wezi kupata ujasiri wa kumwibia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Lyaniva Felix hii ni Bongo Dar es salaam sio kule Rorya ulikokuwa, tumia akili Walinzi wamepiga mchongo wa kuibiwa gari lako!
  13. Muharango

    Wahitimu wa faculty of Civil Engineering UDSM hawana faida kwa Taifa letu

    Wahandisi wanaojielewa wamekimbilia nje ya Nchi hakuna anaekubali kuja kuendeshwa kisiasa!
  14. Muharango

    Yule kichaa aliyekuwa akipita Mikumi kwa miguu kaliwa na simba miezi 2 iliyopita

    Hakuna haja ya kumpa pole Kichaa Ras kwa sababu bado yupo na anaendelea kupita hapo Mikumi kila siku! Umepotoka
  15. Muharango

    Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    Kuwa mpole hao ndio wenye Nchi, ndio wanatulinda wao hupokea Amri pengine kuna jambo au Vifaa vya Muhimu alikuwa anawahisha mahala fulani.
  16. Muharango

    Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa aimwagia sifa Tanzania

    Dhooo! kwamba CCM walishiriki kumung'oa Cde RG Mugabe? Basi itakuwa ZANU PF pamoja na Mugabe walicheza dili, wasitake kutudanganya!
  17. Muharango

    Serikali yafuta leseni zote za kuhodhi maeneo ya madini na wamiliki wake watakiwa kuomba upya

    Eti Wazawa wanafutiwa leseni wakati Mabeburu wanaendelea kuoeta tu! Wivu
Back
Top Bottom