Search results

  1. Ney wa Barca

    Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

    Shkamoo mgambo asanteni sana kwa kuwakalisha watani zetu jana much love
  2. Ney wa Barca

    Flora Lymo a.k.a Mbuta Nanga

    huyo ndio mbutananga banah iga ufe
  3. Ney wa Barca

    Kala Jeremiah ft Roma - Nchi ya ahadi

    nilikua natamani sana siku moja hivi vichwa vifanye colabo na sasa imekua japo sijaisikiliza ila naamini itakuwa bonge la pini
  4. Ney wa Barca

    Unamkumbuka Deborah Mwenda wa Radio Tanzania?

    nilikua sijazaliwa
  5. Ney wa Barca

    Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

    Chameleon ni level nyingine penda yy sana
  6. Ney wa Barca

    December 18: Diamond kwa Zari, Wema kwa Chameleon

    wakati wema anategemea pesa za mabwana kumuweka mjini Zari yy mambo safi so acha project iendelee. Likizo ndefu inaweza kuishia Uganda
  7. Ney wa Barca

    Mnamkubali huyu muigizaji wa Bongo movie Riyama Ally

    Riyama yuko poa naweza kusema amebeba maana halisi ya KIOO CHA JAMII. Over!
  8. Ney wa Barca

    Diamond awapiku P-Square on Youtube

    jitaidi uwapiku na kimafanikio
  9. Ney wa Barca

    Irene Uwoya na Ndikumana wanaswa "LIVE" Airport

    mapenzi ni ya wawili wengine fungeni midomo yenu
  10. Ney wa Barca

    Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

    kwani huyo Edzen amemwambia anahitaji mchango wake? hebu atulize mshono chini
  11. Ney wa Barca

    Kwa hii video ya Ali kiba ya 'Mwana', atasubiri sana kumpita Daimond

    mm team Ally Kiba mnasemaje sasa!
  12. Ney wa Barca

    Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

    nakusalimia tu ndugu Warumi
  13. Ney wa Barca

    Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

    hawa bila magazeti ya bamaga tulishawasahau
  14. Ney wa Barca

    Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

    mwenzenu alishemaliza kulia yaani no longer bint machozi nyie ongeeni mkimaliza komando yuko pale pale
  15. Ney wa Barca

    Chorus Wimbo mpya wa Jaydee (Forever)

    mwacheni komandoo Jide mfyuuuuu
Back
Top Bottom